vodacom

  1. Stroke

    Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika. Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa. Hivi wahusika mnajielewa...
  2. M

    Vodacom naenda mahakamani

    Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha! Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!! Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo...
  3. mfate42

    Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

    Habari IPO namna hii, Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba.. Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
  4. W

    Vodacom Kumlipa Fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie"

    Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie" Mahakama ya juu ya Rufaa Nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa Huduma ya “Tafadhali nipigie”, Kenneth Makate ambaye alikuwa Mfanyakazi wa Vodacom Aidha, Mahakama imeiamuru...
  5. Ndagullachrles

    Vodacom wapuuza amri ya Mahakama Moshi

    Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Vodacom imepuuza amri ya Mahakama ya Mwanzo mjini Moshi ilyowataka kurudisha pesa za mteja wao anayedaiwa kitapeliwa na mtandao wa mataperi. Mahakama hiyo chini ya mheshimiwa P.S Claudia ambaye ni hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama hiyo,aliamuru kiasi cha...
  6. Jamil_Jamal

    Vodacom FWA supakasi

    Habari naomba Vodacom mnitaftie ufumbuzi kwaninhili tatizo kwangu limekua la kudumu. Nimelipia Supa kasi Fwa ya 115,000 -up to 20Mbps lakini shida inakuja kila mara mnara unaondoka na ishatokea hivo zaidi ya mara 10. Inanibidi nicheki na watu wenu wa customer service nayo imekua changamoto mtu...
  7. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  8. Analogia Malenga

    Suala la Waziri Mkuu kununua simu kwa mkopo Vodacom ametupiga

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika Mkutano wa Future Ready Summit, unaofanyika JINCC likifandhiliwa na Vodacom, Stanbic, WB nk amesema amenunua simu kwa mkopo kwa kuwa hakuwa na cash. Hili suala ametupiga, naona ni namna yake ya kusifia Vodacom ambao kwa hapa ndio wadhamini wakuu. Nakaa...
  9. BARD AI

    Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni huduma ya "Tafadhali Nipigie"

    Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa huduma ya ‘Tafadhali Nipigie,’ Kenneth Makate. Aidha, mahakama imeiamuru Vodacom imlipe Makate kati ya asilimia 5 hadi 7.5 ya jumla ya mapato yaliyotokana na huduma hiyo kwa zaidi ya miaka 18...
  10. Alez von lumor

    Vodacom acheni wizi aisee mtatuua kwa presha

    Yani mtu unastress zako za hapa na pale unahangaika kupambana na maisha ya kila siku ili mradi mkono uende kinywani Una biashara yako umekwama sehemu flani, ukaamua kuchukua buku ukanunue bando uingie JF uombe ushauri na kupata uzoefu tena buku uliotafuta kwa jasho lako aisee yaani you got...
  11. Teko Modise

    Vodacom SME yaondolewa kimya kimya

    Miezi kama mitatu iliyopita tuliungwa kwenye vifurushi vya Vodacom SME ambapo tukawa tunapata unafuu kwenye bando. Leo wameondoa bando hilo kimya kimya ukipiga menu hulikuti. Vodacom mnapoteza wateja kizembe
  12. Mtoto wa nzi

    Nawapataje Vodacom Customer Care

    Kama kichwa Cha habari ..... Kila nikipiga 100 wanaongea wao tu ..na nimetuma Hela home Kuna DHARURA Hela wamekata home haijafika. Napiga customer care wanaongea wao tu hakuna option ya kuongea na customer care. Anayejua namna ya kuwapata Msaada tafadhali.
  13. Forgotten

    Naomba kujua bei elekezi za 4G router za Vodacom

    Habari wana-JF, naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5. Nimeona vifurushi vyao bei iko juu kushinda Airtel ila wateja wengi wanalamikia mtandao wa Airtel. Je, ni ipi bora kuchukua kati ya Vodacom au Airtel?
  14. Exile

    Mtandao wa vodacom limebaki jina sasa sio kwa usumbufu wa network

    Sahizi vodacom yamekuwa kama mazoe wanafanya watakavo internet yao imekuwa chini karibia kila siku leo ndo tabu zaidi halafu badae ndo itakuja meseji umemaliza MB zako wakati hata ulichofanya hakipo jana mpesa imesumbua sana
  15. Board member

    Vodacom acheni wizi wa rejareja

    Habari. Imekua mchezo wenu uliozoeleka siku hizi. Kila nikiweka airtime kabla sijaunga kifurushi lazima mukate kiasi, hali hii inafanya nishindwe kujiunga na package niliyokusudia hadi niongeze airtime nyingine. Nikiwapigia mnasema mara nimejiunga na huduma gani sijui, wakati mimi sijawahi...
  16. monotheist

    Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  17. N

    Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  18. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  19. A

    Vodacom Router Bei Nafuu

    Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom Router na inapatikana kwa bei nafuu sana na vifurushi rafiki kabisa. Kwa maelezo zaidi 0744002351...
  20. BARD AI

    Vodacom yaongoza Tanzania kwa idadi ya Wateja

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoangazia Takwimu za Mawasiliano Nchini, Mtandao wa Vodacom umeongoza kwa idadi ya Wateja ambapo hadi mwishoni mwa Septemba 2023 wamefikia 20,555,763 Ripoti imeonesha Mitandao yote kwa ujumla ilikuwa na ongezeko la 4.7% kutoka...
Back
Top Bottom