M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 1 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
ongeza nyama umeweka shingapi inaingia shingapi..?
 
Mzee tia pesa ni bonge la uwekezaji
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.

Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake

13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000

hesabu ya kawaida kabisa
 
Back
Top Bottom