Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
[emoji23][emoji23]Mkuu hii huduma ya Vodacom m wekeza unaweka pesa halafu gawio linakua linatoka Kila mwezi tarehe Moja yaani ukiweka mpunga wa maana kazi Yako inakua kuandaliwa maziwa na wife huku wewe ukiichapa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app