M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

😹😹😹 wacha weeh yani mwezi mzima unakaa unasubiri elfu 72 🤣
Hamna hiyo pesa niliweka tarehe 25 wameweka faida tarehe 3 sababu Hawa jamaa ndio huwa wanaweka hesabu hizo siku hata robo mwezi bado na hapo naongezea mzigo kama huo baadae nimekuambia ni mwendo wa nyama chomaaa🤣🤣🤣🤣
 
Nimekwambia miaka ya mwishoni mwa 90 kuna Bank ilisepa na mizigo ya watu nadhani inaitwa MERIDIAN BANK ilikuwa pale Bismin Askari Monument.
Mkuu King Kong III em linda basi nguvu zako na muda wako huyu unayemwambia hizo habari za 1990s kipindi hicho ashakum si matusi bado alikuwa ananing'inia kwenye kende za baba yake.

Zingatia tu anavyoandika hapa,ana uwasilishaji wa hoja m’bovu kabisa kuwahi kutokea dunia hii.
 
Masikini mnatabu sana kwahiyo mzee we ni kubwa jinga umekua umri akili zero yaani unataka kuwekeza 1m Ili uletewe pesa ukiwa umekaa kibarazani🤣🤣🤣🤣🤣
 
Angalia hapo nimescreenshort kma ukiweka 1M Kwa mwezi unapata hiyo

Yaan utie M usubiri 9000 sibora ukopeshe watu mtaani 100000 Kwa 120000 katika 1 M unaweza pata Chochote 🤣🤣🤣
Wanachekesha na inachekesha zaidi mtu atakapojiuliza kwamba mleta mada hapa ni tajiri mkubwa kiasi gani I mean ameweka billion ngapi kiasi apate faida inayompa jeuri ya kukaa kibarazani na kikombe cha maziwa leo ijumaa siku ya kazi?

Mkuu Introv nisamehe sana kwa kubishana na wewe tajiri la dunia ukwasi ulioutia humo kwa wanamahesabu ni mkubwa japokuwa nahisi ukiambiwa uandike spell zake unaweza ukatoka kapa.
 
Hiyo 1m nenda kauze nyanya gengeni sio uweke m wekeza Sasa hivi akili imekukaa unajitekenya na kucheka mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yah na ndio maana mm sijashaur mtu aweke hiyo 1m na hata hiyo uliyoweka wewe Bado sioni kama ni maamuzi mazuri Sana japo hatufahamiani Wala kuingiliana kwenye matumizi

Ila kama ningekuwa ni mimi siwezi wekeza 15M Ili nipate 1.5k Bado ni uzembe kiutafutaji huo mtaji ni mkubwa sana unaweza ingiza faida ya zaidi ya 3m+ Kwa mwez kuliko kusubir 150000
Dah! Wengine vichwa vya biashara ndio hatuna 😂 M-Wekeza nina 25M, kila mwezi wananipa 250k na vichenchi

Tufunguane fursa zenye return nzuri kwa mitaji kama hiyo yetu maana hilo gawio kwa mjini hata kodi halilipi.
 
Angalia hapo nimescreenshort kma ukiweka 1M Kwa mwezi unapata hiyo

Yaan utie M usubiri 9000 sibora ukopeshe watu mtaani 100000 Kwa 120000 katika 1 M unaweza pata Chochote 🤣🤣🤣

Kabisa hawa jamaa wanatuona sisi mazuzu ,biashara hizo wanafanya wale tu wenye magunia ya pesa ndani ambazo hawana kazi nazo...siwezi kuwekeza 1m nipate elfu 9 au 100m nipate 1m ,ni biashara kichaa.
 
Masikini mnatabu sana kwahiyo mzee we ni kubwa jinga umekua umri akili zero yaani unataka kuwekeza 1m Ili uletewe pesa ukiwa umekaa kibarazani🤣🤣🤣🤣🤣
First of all,hakuna hela utaletewa kibarazani kwa mtaji wowote unaoujua wewe na bora mimi niliyesema nilitaka niwekeze 1mill kwa sababu nilikuwa najua kabisa ninayo kuliko wewe unayejitapa hapa kuwekeza huku ukiwa hata mia mbovu huna.

Humu wamekuwepo watu kama wewe wakijifanya wanapiga madili makubwa makubwa mwisho wakajisahau kurudi kuomba kuchangiwa hela ya kula japo siku ipite so mimi wewe nakuchukulia ni wale wale tu upo hapa kutuburudisha.
 
Saw Mimi Sina hela ya kuwekeza unazo wewe mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.

Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake

13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000

hesabu ya kawaida kabisa

Unaweza kuwa na hoja ila ni Watanzania wangapi wanaweza kuwa na 100M ya kuwekeza kwenye fixed deposit? Pengine unaongelea 0.05%
Kwa kutumia probability, utaona kuwa ni kitu ambacho hakiwezekani kwa uchumi wetu.
 
Back
Top Bottom