Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #121
We ulishawahi kutapeliwaKalynda ,LBL ni Upatu ,Utapeli hawawezi kupewa leseni na BOT ndiyo maana wamekimbia na pesa za watu ,Mabank lazima uweke dhamana BOT kwanza ndiyo upewe leseni ,wameweka hivyo just incase ukikimbia ile BOND ndiyo itatumika kuwalipa wateja....Na hao wateja hata ukiwa na 100m fidia haizidi 10m.