Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,870
- 3,717
Elewa mpaka 13% namana inaweza kuwa 3% , 5% 4% hata ukiwa na MILION 10 haiwezi kukulipa vizuri elewa Mpaka Kuna kitu katikat kinafichwa
Thubutu wateja Sasa hivi hapo wanaambizana kwenda Kwa wachina mtabaki mawinga tu mnunue wenyewe bidhaa zenuThubutuuu…. 😹😹
Bora uje kkoo walau utapata hata mteja wa kumparua hata elfu 30 ila hiyo kujifariji unazidi kujipotezea muda..!!
Mm huko kwa serikali ndio sipaamini kabisa Bora uchimbie hela yakoKampuni la simu likifilisika na hela yako itapotelea huko. How about hati fungate za serikali faida ni 15.25% net hakuna kodi ya zuio 10%. Jiongeze mkuu.
Mwehu weeeh 😹😹Kweli kabisa nimekula ugali. Mchincha kuku wa kukaanga tena wakienyeji na samaki na mtindi mzito mda huu na hiki kibaridi Cha kibaha basi burudaniiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa mbona Mimi haijawahi kushuka 13%Elewa mpaka 13% namana inaweza kuwa 3% , 5% 4% hata ukiwa na MILION 10 haiwezi kukulipa vizuri elewa Mpaka Kuna kitu katikat kinafichwa
Haijui serikali huyoMm huko kwa serikali ndio sipaamini kabisa Bora uchimbie hela yako
Tatizo makampuni haya ya nje hayaeleweki ,halafu M-Pesa ni kampuni nyingine kabisa ,Airtel Money na yenyewe ni kampuni tofauti hata Mixx By Yas nayo ni kampuni nyingine kabisa....Nina maanisha hizo X-Pesa hazifungamani na kampuni mama ni kampuni iliyojiattch kwenye kampuni za simu.M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.
Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake
13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000
hesabu ya kawaida kabisa
Kama m pesa haifungamani inakuaje kwenye laini ya vodaTatizo makampuni haya ya nje hayaeleweki ,halafu M-Pesa ni kampuni nyingine kabisa ,Airtel Money na yenyewe ni kampuni tofauti hata Mixx By Yas nayo ni kampuni nyingine kabisa....Nina maanisha hizo X-Pesa hazifungamani na kampuni mama ni kampuni iliyojiattch kwenye kampuni za simu.
Biashara zetu wakinga tunazifanya hata wachina wenyewe hawaelewi tumewavuruga 😹😹😹Thubutu wateja Sasa hivi hapo wanaambizana kwenda Kwa wachina mtabaki mawinga tu mnunuz wenyewe bidhaa zenu
Ngoja nikachek Leo, trh 28 mwezi 12 mwaka jana niliweka kwenye nmb bonus account na wao wanasema hivyo hivyo kwamba unapata gawio Kila baada ya miezi mitatu. Ngoja nikacheki hiyo "mpaka" imekaajeElewa mpaka 13% namana inaweza kuwa 3% , 5% 4% hata ukiwa na MILION 10 haiwezi kukulipa vizuri elewa Mpaka Kuna kitu katikat kinafichwa
Kibaha Haina Chaka wewd Sasa hivi kibaha town Kila sehemu kumeendelea tofauti na zamaniMwehu weeeh 😹😹
Kibaha kwa Mathias au huko machakani??
Na mimi nakaa kibaha jirani yako, ngoja nije kula hao kuku wa kienyeji na mtindi kwa udhamini wa vodacom 🤣
Ndiyo maana sipendi kuweka fedha kwa style hii yaani niwekeze 100m ili nipate 1m per month? Wakati nikikopesha kwa wafanyakazi wa Serikali/Sector binafsi nauhakika wa kupata 30m kwa mwezi kwa mtaji wa 100m.....Wafanyakazi wanakopeshwa 100,000/= unarudisha 130,000/= Monthly.M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.
Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake
13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000
hesabu ya kawaida kabisa
Unajua taratibu za kupata hela zako kampuni ikifilisika?Hivi unajua hata uanchoongea kwahiyo wanaoweka pesa m pesa kampuni ikifirisika na pesa zao ndio zimeliwa nahisi hujui hata unachokiongea
Na ww upunguze uongo, hiyo 13% gawio unapata baada ya mwaka. Halafu kingine kuwekeza pesa Yako kwenye line ya sim huku unasumbili mwaka mzima hiyo riskHaijui serikali huyo
Unaishi mkoani 😹Kibaha Haina Chaka wewd Sasa hivi kibaha town Kila sehemu kumeendelea tofauti na zamani
Ndiyo maana sipendi kuweka fedha kwa style hii yaani niwekeze 100m ili nipate 1m per month? Wakati nikikopesha kwa wafanyakazi wa Serikali/Sector binafsi nauhakika wa kupata 30m kwa mwezi kwa mtaji wa 100m.....Wafanyakazi wanakopeshwa 100,000/= unarudisha 130,000/= Monthly.
We unajielewa kweli kwani wapi niliposema unapata Kwa siku au mwezi hiyo 13%Na ww upunguze uongo, hiyo 13% gawio unapata baada ya mwaka. Halafu kingine kuwekeza pesa Yako kwenye line ya sim huku unasumbili mwaka mzima hiyo risk
Mchwa ndio unawaamini ?Mm huko kwa serikali ndio sipaamini kabisa Bora uchimbie hela yako
Fafanua basi kwa Faida ya wengi!Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 1 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
Unatuona ss mapimbi sio kwamba hiyo ni Vodacom ya Japan unayoitumia hatuijui huduma zao?We unajielewa kweli kwani wapi niliposema unapata Kwa siku au mwezi hiyo 13%
Jibu swali sio unaongea kama unafunza kichwani wapi nimesema hizo 13% unapata Kwa siku au mweziUnatuona ss mapimbi sio kwamba hiyo ni Vodacom ya Japan unayoitumia hatuijui huduma zao?