Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Inategemeana na kiwango uilichowekeza sasaMaana yake inaweza kushuka hata 5%, si ndio hivyo.
Inategemeana na kiwango uilichowekeza sasaMaana yake inaweza kushuka hata 5%, si ndio hivyo.
Haiwezi kushukaMaana yake inaweza kushuka hata 5%, si ndio hivyo.
Mhh hii hesabu yako imekaa vema kweli??Niliweka milion 5 kwa mwezi nakinga laki moja na nusu
Hao jamaa ni wako vyema sanaNiliweka milion 5 kwa mwezi nakinga laki moja na nusu
Kwahy atakae weka 5million na atakaeweka 50mil , asilimia ya faida kwa mwaka inatofautiana?Inategemeana na kiwango uilichowekeza sasa
Faida inatofautia kutokana na mpunga unaotiaKwahy atakae weka 5million na atakaeweka 50mil , asilimia ya faida kwa mwaka inatofautiana?
Kuna mtu kasema ameweka 5m, anapata laki na nusu(SIAMINI KWA SEHEMU)Kwahy atakae weka 5million na atakaeweka 50mil , asilimia ya faida kwa mwaka inatofautiana?
Wewe hutaki watu tunufaike na huo mfuko au mijitu mieusi bhana kwahiyo unataka tuwe masikini kama wewe milele pambana na Hali YakoMleta uzi kuna namna unanufaika na huo mfuko ama lah sivyo ulivyo kwa unavyounasibu.
Jaza nyama hapo, umeweka milioni ngapi huko, au ndio umetia milioni 100 ili upate milioni mwisho wa mwezi(uwekezaji wa kivivu).
Ngoja niitafute laini ya VodacomMkuu hii huduma ya Vodacom m wekeza unaweka pesa halafu gawio linakua linatoka Kila mwezi tarehe Moja yaani ukiweka mpunga wa maana kazi Yako inakua kuandaliwa maziwa na wife huku wewe ukiichapa
Unajua kiasi nilichowekeza mpaka useme Mimi muongo Ili kuthibitishia kwamba njaa imekaa kichwani kwako eti unasema hauwezi kutoa hela mpaka mwaka uishe yaani kiufupi huna unachojua ila unajofanya mjuajiJamaa Muongo huyu.
M wekeza ni 13%, uwekezaji wa mwaka.
milioni kumi kwa mwaka utapata faida 1.3ml
Sawa na 108000 kwa mwezi na huwezi toa hela mpka mwaka upinduke. Hawatoi kwa mwezi.
Sasa huyu kuku kawekeza bei gani apikiwe maziwa na taulo
Kabisa mkuuNgoja niitafute laini ya Vodacom
Wewe ndio hutaki wenzio waneemeke kama ulivyoneemeka.Wewe hutaki watu tunufaike na huo mfuko au mijitu mieusi bhana kwahiyo unataka tuwe masikini kama wewe milele pambana na Hali Yako
Kawaulize Vodacom Sina mda wa kuweka mifanoWewe ndio hutaki wenzio waneemeke kama ulivyoneemeka.
Weka mifano na njia ulizotumia sio tambo kama za kina chief godilavu mzee wa jicho la tatu.
Acha kufanya maamuzi kwa mhemko. Tumia akili yako mkuu. Wekeza hela yako kunakoeleweka zaidi kama bank,dhamana za serikali (TB) UTT na faida ni kubwa zaidi.Ngoja niitafute laini ya Vodacom
Wewe unaona m wekeza hapaeleweki kwenye faida ya 13% ?Acha kufanya maamuzi kwa mhemko. Tumia akili yako mkuu. Wekeza hela yako kunakoeleweka zaidi kama bank,dhamana za serikali (TB) UTT na faida ni kubwa zaidi.
Hawezi kupata 150,000 kwa mwezi.Kuna mtu kasema ameweka 5m, anapata laki na nusu(SIAMINI KWA SEHEMU)
Ukiweka 50m riba itakua kubwa zaidi