M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

Hakuna anaetaka detail kijana, kua muelewa, kama umeamua kushare fursa dadavua ni kiwango gani chafaa mtu kuwekeza.

Faida ikoje, awe makini na kipi na kipi aepuke kabisa, pesa unatoaje nk.

Ukifata details vodacom, watakupa details ili uweke hela, hawatakipa risks associated na huo uwekezaji.

Ndio maana wadau wanatamani kusikia kutoka kwako wewe ulieweka mzigo na kudai umepata faida unaeeza kua na ukweli bila upendeleo.
Sio details zako weka mifano.
Hasara ya kupoteza mtaji wako hamna ni faida tu kutokana na pesa uliyoweka
 
Wewe unaona m wekeza hapaeleweki kwenye faida ya 13% ?
Kampuni la simu likifilisika na hela yako itapotelea huko. How about hati fungate za serikali faida ni 15.25% net hakuna kodi ya zuio 10%. Jiongeze mkuu.
 
Kampuni la simu likifilisika na hela yako itapotelea huko. How about hati fungate za serikali faida ni 15.25% net hakuna kodi ya zuio 10%. Jiongeze mkuu.
Hivi unajua hata uanchoongea kwahiyo wanaoweka pesa m pesa kampuni ikifirisika na pesa zao ndio zimeliwa nahisi hujui hata unachokiongea
 
Unajichekesha nani anacheka?

Nakusisitiza amka kwenye hiyo ndoto ya kimaskini hakunaga hela rahisi kiasi hiko,ukaona Jamiiforums utakutana na ngumbaru kama wewe?
Unatatizo la afya ya akili wewe yaani mtu humjui unasema anajifariji mzee tafuta hela ndio maana Mimi naifurahi wewe mishipa ya shingo inakutoka mda huu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona husemi uliweka kiasi gani na ukapata gawio kiasi gani??
Sasa km ni Siri si ungebaki nayo mwenyewe mfyuuuu..! 😹
Siwezi kusema Kwa kufosiwa niseme kama utaona haifai kufuatilia huo uwekezaji ukaujua achana nao dunia Kila mtu na mapambano yake
 
Biashara kichaa, Hiyo million tano si bora uizungushe uingize pesa ya kuweleweka..!!
Na Mimi ndio maana sijataka kuweka kiasi Cha pesa nilichokiweka sababu ya maneno kama haya nimeishia kuwaambia naenjoy mapesa nikiwa na wife home tu Sina haha ya kuhangaika na biashara Wala makazi magumu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sawa ila naenjoy na wife bila kuhangaika kufanya biashara kariakoo nipo home na Taulo kibarazani kwangu mkononi Nina maziwa uku jikoni kukiarangizwa vinono daily🤣🤣🤣🤣🤣
Thubutuuu…. 😹😹
Bora uje kkoo walau utapata hata mteja wa kumparua hata elfu 30 ila hiyo kujifariji unazidi kujipotezea muda..!!
 
Utakua umeshiba ugali wako na mchicha bange upo hapa kutusumbua.. 😹

Ukute umepata gawio twenty unataka kuturusha roho..!!
Kweli kabisa nimekula ugali. Mchincha kuku wa kukaanga tena wakienyeji na samaki na mtindi mzito mda huu na hiki kibaridi Cha kibaha basi burudaniiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom