M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

Kama m pesa haifungamani inakuaje kwenye laini ya voda

Swali zuri sana mkuu ,line ya voda ni kama transport tu ,hata hizi NIVUSHE ,NIPIGE TAFU ,TIMIZA ,KAMILISHA ni 3rd party company za ukopeshaji wanaotumia infrastructure za simu ni VAS.,,,Ni sawa na Miito(Caller Tunes) hazimilikiwi na makampuni ya simu ,wao wanagawana mapato tu kwa kutumia miuondombinu yao.....Kwahiyo mtu anayetoa Huduma ya NIPIGE TAFU anaweza akasitisha tu kama akimamua yeye haiamuliwi na kampuni ya simu ,the same na hiyo M-Wekeza , na hata ukifuatilia M-KOBA ni huduma ya Bank moja inayotumia miundombinu ya Vodacom kwahiyo M-KOBA haimilikiwi na Vodacom na ndiyo maana hela za M-KOBA zinaenda kwenye hiyo BANK so hiyo BANK ikiamua kusepa kama MERIDIAN BANK miaka ya late 90s lazima watu wapige YOWE.
 
Unaishi mkoani 😹
Njoo town upige pesa unazoota kupewa na voda, huko wenzio tunakuja kukagua mabanda ya kuku 🤣
Nimeshasema Mimi nimechagua maisha ya kuenjoy nipo na wife nakula vinono yaani naichapa usiku na mchana Sasa nyie endeleeni kuishi sehemu yenye joto mwisho mnaanza kunukia mishikaki
 
Unatatizo la afya ya akili wewe yaani mtu humjui unasema anajifariji mzee tafuta hela ndio maana Mimi naifurahi wewe mishipa ya shingo inakutoka mda huu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Em tuongee kwa facts!

Pandisha hapa screenshot ya msg kutoka M-pesa ikikuonyesha kupata gawio fulani kutokana na hii program,I swear ukifanya hivyo nitakubali nina tatizo la akili or may be umaskini unanisumbua lakini ukishindwa itakuwa vice versa.
 
Swali zuri sana mkuu ,line ya voda ni kama transport tu ,hata hizi NIVUSHE ,NIPIGE TAFU ,TIMIZA ,KAMILISHA ni 3rd party company za ukopeshaji wanaotumia infrastructure za simu ni VAS.,,,Ni sawa na Miito(Caller Tunes) hazimilikiwi na makampuni ya simu ,wao wanagawana mapato tu kwa kutumia miuondombinu yao.....Kwahiyo mtu anayetoa Huduma ya NIPIGE TAFU anaweza akasitisha tu kama akimamua yeye haiamuliwi na kampuni ya simu ,the same na hiyo M-Wekeza , na hata ukifuatilia M-KOBA ni huduma ya Bank moja inayotumia miundombinu ya Vodacom kwahiyo M-KOBA haimilikiwi na Vodacom na ndiyo maana hela za M-KOBA zinaenda kwenye hiyo BANK so hiyo BANK ikiamua kusepa kama MERIDIAN BANK miaka ya late 90s lazima watu wapige YOWE.
Nimekuuliza wenyewe Vodacom watajitoa vipi kwenye uhalifu na kutolipa pesa za watu kama m wekeza watasepa
 
Jibu swali sio unaongea kama unafunza kichwani wapi nimesema hizo 13% unapata Kwa siku au mwezi
Screenshot_20250404-134600.jpg

Sijajua dhumuni lako la Uzi huu, lkn kama unazungumzia m. Wekeza ndio hiyo inatoa riba 13% kwa mwaka. Ww hizo hela unazogawiwa kwa mwezi ni m. Wekeza Gani kama si utapeli unajaribu kutaka kuchota watu hum
 
View attachment 3293068
Sijajua dhumuni lako la Uzi huu, lkn kama unazungumzia m. Wekeza ndio hiyo inatoa riba 13% kwa mwaka. Ww hizo hela unazogawiwa kwa mwezi ni m. Wekeza Gani kama si utapeli unajaribu kutaka kuchota watu hum
Kwahiyo m wekeza hawatoi riba Kila mwezi kwenye sehemu ya hiyo 13%
 
Nimekuuliza wenyewe Vodacom watajitoa vipi kwenye uhalifu na kutolipa pesa za watu kama m wekeza watasepa

Nimekupa Picha tu Vodacom wapo front lakini hawana say yeyote kwenye M wekeza wala M-koba ,kwahiyo wenye M wekeza wakiamua kusepa inakula kwa wateja...Kuna sheria za BOT tu watalipwa 10m kwa wenye mapesa makubwa maana lazima waweke BOND BOT kama dhamana.
 
Thubutuuu…. 😹😹
Bora uje kkoo walau utapata hata mteja wa kumparua hata elfu 30 ila hiyo kujifariji unazidi kujipotezea muda..!!
Dogo yupo geto kwake ametoka kugonga ubwabwa harage kwa mama ntilie na maji ya kisima anasubiri maelekezo kutoka kwa wakuu wake akasajilishe wapi line za Voda sasa yeye akaona aje kutubahatisha humu.
 
Nimekupa Picha tu Vodacom wapo front lakini hawana say yeyote kwenye M wekaza wala M-koba ,kwahiyo wenye M wekeza wakiamua kusepa inakula kwa wateja...Kuna sheria za BOT tu watalipwa 10m kwa wenye mapesa makubwa maana lazima waweke BOND BOT kama dhamana.
Yaani kirahisi tu kampuni binafsi itapeli watu mabilion yaani wewe umzamini mtu halafu akimbie na pesa halafu we mzamini useme tu kirahisi simjui
 
Dogo yupo geto kwake ametoka kugonga ubwabwa harage kwa mama ntilie na maji ya kisima anasubiri maelekezo kutoka kwa wakuu wake akasajilishe wapi line za Voda sasa yeye akaona aje kutubahatisha humu.
Naona unautaja msosi wako pole sana kijana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimekwambia miaka ya mwishoni mwa 90 kuna Bank ilisepa na mizigo ya watu nadhani inaitwa MERIDIAN BANK ilikuwa pale Bismin Askari Monument.
Kwa staili hiyo hata benki ambazo sio za kibongo zitasepa na mipunga ya watu kitu hicho miaka hii akipo mzee hao sio kalynda
 
Hiyo laki 5 anayo?aitoe wapi huyu toka mwaka umeanza kama kashika hela nyingi sana basi haizidi 80K.

Mtu mwenye mzunguko wa 500K hawezi kuwa mchoyo wa kugawa idea tena hela zenyewe za mitandaoni huyu hamna kitu.
😹😹😹 Nimekwambia anachangamsha kijiwe..!!
 
Kwa staili hiyo hata benki ambazo sio za kibongo zitasepa na mipunga ya watu kitu hicho miaka hii akipo mzee hao sio kalynda
Kalynda ,LBL ni Upatu ,Utapeli hawawezi kupewa leseni na BOT ndiyo maana wamekimbia na pesa za watu ,Mabank lazima uweke dhamana BOT kwanza ndiyo upewe leseni ,wameweka hivyo just incase ukikimbia ile BOND ndiyo itatumika kuwalipa wateja....Na hao wateja hata ukiwa na 100m fidia haizidi 10m.
 
Back
Top Bottom