M wekeza ni bonge la uwekezaji kutoka Vodacom kwa watu wenye mpunga wa maana

Wakuu hii huduma ya Vodacom m wekeza ni bonge la uwekezaji aisee yaani nimetia pesa huko Sasa hivi nafanya kazi ya kuamka na Taulo huku nikinywa maziwa pesa yangu ikiniletea faida halafu uzuri wanaweka pesa. Tarehe 1 tu mwanzoni mwa mwezi mungu anipe nini mimi
Taulo mara pesa sijui faida aueleweki
 
Jamaa Muongo huyu.
M wekeza ni 13%, uwekezaji wa mwaka.
milioni kumi kwa mwaka utapata faida 1.3ml
Sawa na 108000 kwa mwezi na huwezi toa hela mpka mwaka upinduke. Hawatoi kwa mwezi.
Sasa huyu kuku kawekeza bei gani apikiwe maziwa na taulo
Wanatoa kwa mwezi
 
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.

Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake

13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000

hesabu ya kawaida kabisa
Niwekeze milioni mia halafu nipate faida ya milioni 13 kwa miezi 12? Hiyo pesa bora nitunze vikoba
 
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.

Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake

13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000

hesabu ya kawaida kabisa
Kuwekeza milioni 100 ili kutafuta faida ya 13milioni kwa mwaka mzima ni upunguani.Naona bora hata ufanye biashara nyingine.Unless ni hela isiyo na kazi.
 
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.

Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake

13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000

hesabu ya kawaida kabisa
Yaani niweke 100m nipate faida ya 1m kwa mwezi???
 
M-Wekeza inawawezesha watumiaji kuanza kuwekeza kwa kiasi kidogo cha shilingi 10,000/=, ikitoa faida ya ushindani ya hadi asilimia 13 ya riba kwa mwaka. Huduma hii ya kisasa inaashiria kuingia kwa Vodacom M-Pesa katika masoko ya mitaji, ikileta fursa mpya za ukuaji wa kifedha kwa Watanzania na kuendeleza dhamira ya kampuni hiyo ambayo ni kukuza ushirikishwaji wa kifedha.

Umeweka 100,000,000 x 1.13 = 113,000,000.00 kwa mwake

13,000,000 gawanya kwa 12 = 1,000,000

hesabu ya kawaida kabisa
Hesabu na biashara ya wavivu. Usiamini kubwa hisa ni riskfree, likitokea janga la kuporomoka nawe umo. Kwa risktaker with 100m ukiiweka kwenye biashara ya chakula ndani ya mwaka 1 una 100m nyingine. Lakini kwa vile tuna mentality ya kubet 13m tunaridhika, simply inakuja tumekaa.
 
kwa hesabu walizoweka mbona hai make sense
Huyo anaesema anapata laki na nusu kwa kuweka laki 5 anafurahisha baraza. Riba ya 13% ni kwa mwaka na monthly ni hiyo ya mwaka wanagawa kwa miezi 12 anapata sh12500/-!
 
Hesabu na biashara ya wavivu. Usiamini kubwa hisa ni riskfree, likitokea janga la kuporomoka nawe umo. Kwa risktaker with 100m ukiiweka kwenye biashara ya chakula ndani ya mwaka 1 una 100m nyingine. Lakini kwa vile tuna mentality ya kubet 13m tunaridhika, simply inakuja tumekaa.
Shida Iko wapi mzee wewe hiyo milioni 100 kafanye biashara kama ni rahisi kama unavyosema hapa
 
Back
Top Bottom