Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo?
Tupe ripoti yako tafadhali.
Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa
Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama
Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
Vodacom Tanzania imeikaribisha kampuni ya Starlink, mtoa huduma wa mtandao maarufu duniani, ikisema sio adui wala tishio kwao hata kidogo, bali inatoa fursa ya ushirikiano.
Huduma za Starlink zinatarajiwa kupatikana nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya 2023, huku mmiliki wa kampuni hiyo Bw...
Wakuu kwema?
Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi
Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri
Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini.
Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji.
Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k
Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje
wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja...
Mtandao wenu recently umekuwa slow sana, ile edge ya advantage mliyokuwa nayo dhidi ya wenzenu katika issue ya speed ya internet mnaipoteza, halafu siku hizi ilifika usiku saa sita kwenda mbele internet yenu haipatikani kabisa.
Hivi nyie hamjui kuwa kuna watu wanatumia internet hadi usiku wa...
Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT).
Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
Jana nilikuwa sehemu nikawa nina mahitaji ya haraka ya pesa. Huwa sina tabia ya kujikopesha maana naonaga ni kuingia gharama kusiko kwa lazima ila sikuwa na jinsi.
Sasa nikasema nijikopeshe shilingi 370,000 kupitia MPAWA, Vodacom wakakata 70,000 juu kwa juu. Nimewapigia wanasema ndiyo makato...
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye...
Heshima kwenu.
Nilikuwa natumia mtandao wa tigo zamani, nikawa nimekuja sehemu ambayo network ilikuwa inashika kwa tabu sana, kwa kuwa nina line ya Voda nikajaribu kuweka salio ikawa inafanya vizuri tu nikaacha kutumia line yaTigo.
Sasa juzi najaribu kuunga kifurushi kwa line ya Voda nashangaa...
Habari wadau,
Nahitaji kwa ambae anatumia huduma ya Internet ya Vodacom supakasi unlimited atupe mrejesho huduma yao ikoje upande wa kasi na kama Mbps unazolipia ndizo unazopata siku zote za mwezi.
UPDATE APRIL 2023
Nilijiunga na Ttcl fibre baada ya Vodacom kukuta eneo langu halina 5G coverage.
Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi.
Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229
Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
Habari za jioni wana jf? Poleni na harakati za kutwa nzima.
Leo hii nimeamua kushare uizi mpya wa vifurushi vya internet nilioushuhudia kupitia kampuni ya VODACOM.
Jana jioni wakati nafanya jambo muhimu mtandaoni ghafla nikakuta simu imeganda kupakua files fulani, nikiangalia mtandao naona...
Natengeneza Laini za Lipa kwa simu za Vodacom bure kabisa. Popote ulipo Tanzania unahudumiwa. Vigezo uwe na kitambulisho cha NIDA au Namba za nida. Mwenye uhitaji nicheck 0758381938
Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)
Maelezo:
Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi...
Kampuni hiyo ya Mawasiliano ilipanga kukusanya Tsh. Trilioni 1.06 katika mwaka ulioisha March 2022 lakini kutokana na athari za Tozo imepoteza 9.8% ya mapato na kukusanya Tsh. Bilioni 956 ambayo ni pungufu ya matarajio.
Mwenyekiti wa Bodi ya Vodacom Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema tozo hizo...
Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo.
Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.