Vodacom: Kuna watu ndani ya system wana wahujumu ndani ya siku hizi mbili mabando yanakatwa kinyume na utaratibu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.

Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku hiyo nikalala hiyo saa tatu nikazima simu.

Naamka asubuhi nawasha simu najiunga JF nakuta meseji bando lako limeisha.

Nikalazimika kujiunga na bando jingine lakini Hali imekuwa hivyo hivyo.

Siku zote u kujiunga na bando la Elfu 2 Mia 5 huwa ni masaa 24 na hapo unakuwa umeingia You Tube, Instagram, Tiktok etc.

Bando linaweza kuishia katikati kama utakuwa download apps, ume download videos, ume send videos n. K.

Lakini sio hii una peruzi JF, unachat tu WhatsApp kawaida ( no kutumiana video etc) halafu bando linakata fasta namna hiyo.

Vodacom hii si haki.

Nahisi kuna watu wapo kwenye system wanafanya mchezo mchafu wa kutuibia wateja.

Unalipa bando la Elfu 2 na Mia 5 unapewa bando la Mia tano, halafu hiyo buku mbili wanapigilia.

Vodacom chukueni hatua haraka sana mnatukosea sana wateja wenu.
 
Mitandao ya simu inamilikiwa na majizi. Na mbaya zaidi TCRA imelala usingizi wa pono.
 
ndugu hama tu ila voda nawapa shikamoo wanatunyoosha
 
Sina affliation nao lakini siamini kama Vodacom inaweza kuiba bundle, labda kuna apps zinafanya kazi background, mfano baadhi ya simu huwa zinajiupdate zenyewe, apps huwa zinajiupdate zenyewe.

Knaweza kudownload video,game au file ikaishia njiani ukajisahau ukaja kuweka bundle linakatwa

Kuna issue ya kuback up picha na videos kwa bahati mbaya au nzuri etc

Kuna ile feature whatsApp inaruhusu kila file kujiauto download linapoingia, iwe picha,video,sticker sasa imagine umejiunga magroup matatu yote wanatumiana videos,audio,pdfs lazima MB zikate hata kama hujazitumia!

Besides bando la Tsh 1,500/= ni kama MB650-MB750 ni ndogo sana kama hivyo vitu vitafanyika.
 
Ohoo sorry mteja kumbe hukuingia YouTube, Instagram na tiktok? tulizoea ukinunua bando lazima uingie huko.

Lakini hata WhatsApp na jf si ulienjoy mkuu?
 
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.

Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku hiyo nikalala hiyo saa tatu nikazima simu.

Naamka asubuhi nawasha simu najiunga JF nakuta meseji bando lako limeisha.

Nikalazimika kujiunga na bando jingine lakini Hali imekuwa hivyo hivyo.

Siku zote u kujiunga na bando la Elfu 2 Mia 5 huwa ni masaa 24 na hapo unakuwa umeingia You Tube, Instagram, Tiktok etc.

Bando linaweza kuishia katikati kama utakuwa download apps, ume download videos, ume send videos n. K.

Lakini sio hii una peruzi JF, unachat tu WhatsApp kawaida ( no kutumiana video etc) halafu bando linakata fasta namna hiyo.

Vodacom hii si haki.

Nahisi kuna watu wapo kwenye system wanafanya mchezo mchafu wa kutuibia wateja.

Unalipa bando la Elfu 2 na Mia 5 unapewa bando la Mia tano, halafu hiyo buku mbili wanapigilia.

Vodacom chukueni hatua haraka sana mnatukosea sana wateja wenu.
Kwani imelazimishwa kutumia mtandao wa Vodacom
 
Hiyo 2,000 wanayo piga.... basi fanya 1,000 waki tunyoisha kama raia 1,000,000 kwa siku moja wanakua wametengeneza kama 1,000,000,000 yaani 1 billion per day...😥
 
Line ya vodacom mara ya mwisho kuweka vocha au bando nishasahau. Ipo tu kusubiri watu wanipigie.
 
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.

Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku hiyo nikalala hiyo saa tatu nikazima simu.

Naamka asubuhi nawasha simu najiunga JF nakuta meseji bando lako limeisha.

Nikalazimika kujiunga na bando jingine lakini Hali imekuwa hivyo hivyo.

Siku zote u kujiunga na bando la Elfu 2 Mia 5 huwa ni masaa 24 na hapo unakuwa umeingia You Tube, Instagram, Tiktok etc.

Bando linaweza kuishia katikati kama utakuwa download apps, ume download videos, ume send videos n. K.

Lakini sio hii una peruzi JF, unachat tu WhatsApp kawaida ( no kutumiana video etc) halafu bando linakata fasta namna hiyo.

Vodacom hii si haki.

Nahisi kuna watu wapo kwenye system wanafanya mchezo mchafu wa kutuibia wateja.

Unalipa bando la Elfu 2 na Mia 5 unapewa bando la Mia tano, halafu hiyo buku mbili wanapigilia.

Vodacom chukueni hatua haraka sana mnatukosea sana wateja wenu.
Uongozi ukiwa wa hovyo anaye umizwa ni mwananchi wa chini maana kila mwenye nafasi atawaza kumuibia F.I.C, L.B.L wizi wa mitandao na mengi yafananayo
 
simu za sasa zinadukua taarifa nakuwa auto update kupeleka taarifa sehemu husika ila kwa vile bando zimekuwa ni gharama ndio maana unaona unaibiwa
 
Back
Top Bottom