Free internetUnatumia mtandao gani kwa internet?
🙏🙏🙏🙏🙏Sina affliation nao lakini siamini kama Vodacom inaweza kuiba bundle, labda kuna apps zinafanya kazi background, mfano baadhi ya simu huwa zinajiupdate zenyewe, apps huwa zinajiupdate zenyewe.
Knaweza kudownload video,game au file ikaishia njiani ukajisahau ukaja kuweka bundle linakatwa
Kuna issue ya kuback up picha na videos kwa bahati mbaya au nzuri etc
Kuna ile feature whatsApp inaruhusu kila file kujiauto download linapoingia, iwe picha,video,sticker sasa imagine umejiunga magroup matatu yote wanatumiana videos,audio,pdfs lazima MB zikate hata kama hujazitumia!
Besides bando la Tsh 1,500/= ni kama MB650-MB750 ni ndogo sana kama hivyo vitu vitafanyika.
Tigo naona wako poa,voda unaweza kuweka vocha ya buku ukazima data ila ukakuta wamekata tsh 100 bila sababu ukiwapigia wanakuambia Kuna huduma ulijiungaInternet mnatumia mtandao gani?
Tigo bando la siku nzima ni sh ngapiTigo naona wako poa,voda unaweza kuweka vocha ya buku ukazima data ila ukakuta wamekata tsh 100 bila sababu ukiwapigia wanakuambia Kuna huduma ulijiunga
Kitu ambacho sio kweli hapa itakupasa kununua vocha ya jero tena ujiunge buku ibaki 400 ambayo Haina uwezo wa kujiunga
wapo vizuri kuhusu vocha usiwaze unaweza kujiunga vifurushi kutumia miamala ya mtandao wowoteTTCL wapo vizuri kwenye internet? Vipi kuhusu upatikanaji wa vocha zao mitaani?
Kama una magroup mengi ya Whatsapp na Kuna watu Wana upload videos hovyo na hujazima setting ya kudownload automatically hapo lazima bando likateJuzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku hiyo nikalala hiyo saa tatu nikazima simu.
Naamka asubuhi nawasha simu najiunga JF nakuta meseji bando lako limeisha.
Nikalazimika kujiunga na bando jingine lakini Hali imekuwa hivyo hivyo.
Siku zote u kujiunga na bando la Elfu 2 Mia 5 huwa ni masaa 24 na hapo unakuwa umeingia You Tube, Instagram, Tiktok etc.
Bando linaweza kuishia katikati kama utakuwa download apps, ume download videos, ume send videos n. K.
Lakini sio hii una peruzi JF, unachat tu WhatsApp kawaida ( no kutumiana video etc) halafu bando linakata fasta namna hiyo.
Vodacom hii si haki.
Nahisi kuna watu wapo kwenye system wanafanya mchezo mchafu wa kutuibia wateja.
Unalipa bando la Elfu 2 na Mia 5 unapewa bando la Mia tano, halafu hiyo buku mbili wanapigilia.
Vodacom chukueni hatua haraka sana mnatukosea sana wateja wenu.
Kuna mchezo mchafu utakuwa unaendelea.Kuna kitu kinatendeka Vodacom nyuma ya pazia. Jana nilituma pesa benki fulani, pesa haikufika huko nilikokusudia hadi kufika saa sita usiku ikaja SMS kuwa pesa yangu imerudishwa maana imeshindikana kuituma ilipotakiwa kwenda.
Asubuhi nikaona niihamishe hiyo pesa ninayataka kutuma benki, kwenda kwenye namba yangu nyingine ya mtandao mwingine. Pesa ikatumwa lakini hakukuwa na mrejesho kama imetumwa na wala haikupokelewa kule nilipoituma kwa zaidi nusu saa.
Baadaye sana ndio nikapata SMS za kutuma na kupokelewa kwa pesa iliyotumwa....
Hii sio kawaida ya Vodacom ninayoifahamu kwa zaidi ya miaka 20
Swali ni nini kinaendelea?
Ni jana nilikuwa nafanya malipo ya ada kwa mtoto wa demu wangu ila mpaka muda huu kule meseji haijafika na kwangu sijaona meseji ila kiasi kimepungua .Kuna kitu kinatendeka Vodacom nyuma ya pazia. Jana nilituma pesa benki fulani, pesa haikufika huko nilikokusudia hadi kufika saa sita usiku ikaja SMS kuwa pesa yangu imerudishwa maana imeshindikana kuituma ilipotakiwa kwenda.
Asubuhi nikaona niihamishe hiyo pesa ninayataka kutuma benki, kwenda kwenye namba yangu nyingine ya mtandao mwingine. Pesa ikatumwa lakini hakukuwa na mrejesho kama imetumwa na wala haikupokelewa kule nilipoituma kwa zaidi nusu saa.
Baadaye sana ndio nikapata SMS za kutuma na kupokelewa kwa pesa iliyotumwa....
Hii sio kawaida ya Vodacom ninayoifahamu kwa zaidi ya miaka 20
Swali ni nini kinaendelea?
Kuna namba inaingilia 0744... Imetegeshwa kuwa mbadala kila unapotaka kuingia kwenye menu yao.. *150*00# Kuna mchezo wa wizi unachezwa na wafanyakazi wa IT. Vodacom wachukue hatua mapema.Kuna mchezo mchafu utakuwa unaendelea.
Kuna watu watakua wameingilia mfumo wa Vodacom