Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Vodacom mtandao wenu umetusumbua karibia wiki nzima bila internet na voice calls kususua lakini hata kufidia mmekimbia. Ni aibu sana

Haya mambo tunafanyiwa waafrika haswa sisi wabongo wenye amani na utulivu.
 
Vodacom Leo nimetumiwa HeLa kutoka nje
Kule inaonekana nimepokea ila Mimi sinapokea HeLa.
@vodacom
Mbona mnatukosea sana wateja wenuuuu?? Mnatuchukuliaje lakini?
Namba ya Customer care hakuna option ya kuongea na mhudumu.
WhatsApp napo hakuna kitu. Au nyie wenzangu mnawapataje mkitaka kuongea na mhudumu?
 
Back
Top Bottom