Vodacom, huu wema umeanza lini?
Leo nimeona push menu za USSD, zikiniuliza na hatimaye kuniwezesha kujitoa kwenye matumizi ya salio kulipia huduma za mtandao wa intaneti kutoka kwenye salio la kawaida. Kwa hiyo kuanzia leo, hata bando la GB likikata, salio la kawaida lililopo halitaguswa...