Leo nimeletewa SMS kuwa bundle yangu imeisha, ilikuwa bundle ya week ya 3GB, nikajiunga tena, ghafla nikaletewa sms tena baada ya masaa matatu kuwa bundle limeisha. Nimepiga naona hatuelewani kabisa, mshawahi kukutana na scenario ndugu zangu?.
Sijadownload wala live streaming wala sija update...