vpn

  1. Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

    Wakuu, Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani? Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama? Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena. Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
  2. VPN free net speed ya 4G

    Wanangu wa JF niwaambie tu hatimae nimenyaka VPN speed ya 4G movie ya MB 800 dakika 10 jina VPN kapuni msije kuchoma..
  3. Washa VPN, X naona ina kamzozo

    Naona mtandoa wa X unasumbua washeni VPN
  4. Pre GE2025 XSPaces nayo imepigwa pini, hakikisha una VPN kwenye kifaa chako yasije kutokea ya 2020 ukiwa hujajiandaa!

    Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN. Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
  5. Msaada VPN

    Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
  6. Ni VPN gani iko on fire kwa sasa nchini?

    Habari ya kutwa mzima great thinkers! Naomba tujuzane VPN ambazo ziko kazini Kwa sasa ili tuendelee kuperuzi mitandaoni. Najua baada ya serikali kupiga ban VPN sasa hivi wahuni watakuwa wamekuja na VPN ambazo ziko faya zaidi ila tatizo ni kwamba wengi wetu hatuzijui tu. Basi kupitia uzi huu...
  7. Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

    Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake. Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini. Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa...
  8. E

    Network yangu bila VPN haifanyi kazi, kuna shida gani?

    Natumia Voda net Network yangu bila VPN haifanyi kazi, kuna shida gani wakuu?
  9. M

    Free vpn for internet

    WAkuu kutokana na tigo kupiga lock baadhi ya vpn zilizokua zinatrend hapa kati basi imeniwia vigumu kwa upande wangu,kwahivyo kwa yeyote mwenye vpn ya bule kwa sasa naomba anitumie inbox plz!!!asiweke hadharani watu wabaya wasije wakachomesha tena
  10. D

    Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Nilikua naomba kuuliza ni Vpn gani nzuri ambayo watu hutumia kupata free internet?
  11. Jinsi VPN Ilivyoniwezesha Kupata Fursa za Biashara kwenye Nchi Zilizozuia Baadhi ya Mitandao

    Mwaka 2023 ulikuwa mwaka ambao ulijaa changamoto na fursa kwa upande wangu. Nikiwa nimeamua kupanua biashara zangu, nilijikuta nikiingia China kwa mara ya kwanza. China ni taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi, na kwa kila mjasiriamali mwenye ndoto ya kupanuka kimataifa, hili lilikuwa eneo muhimu...
  12. Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  13. Wameblock telegram? Bila VPN haifanyi kazi

    Kwa tupangieni content na sio na watu wazima? Kisheria mtoto harusiwi kuwa na simu sasa kutuzimia huduma maana yake nini? Kama wanahofia watoto wana simu hayo waachie wazazi wao.
  14. Pre GE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

    Kwanini wamefungia telgram hasa?
  15. P

    Historia ni mwalimu mzuri, mtandao umeshaanza kusumbua na sisi tujiweke tayari, hakikisha simu yako haikosi VPN!

    Wakuu salam kwenu, Tumeshuhudia kwenye Uchaguzi wa 2015 JF ilivyopigwa na kitu kizito kwenye suala la mtandao na hivyo kuzuia wananchi kupata taarifa. Tulishuhudia hilo pia kwenye uchaguzi wa 2020 jinsi mtandao ulivyochezewa na 'jini' ikawa changamoto kupata taarifa na wale ambao biashara zao...
  16. Je ni kweli kuna VPN zinapunguza ulaji wa bundle la Data

    Wakuu huku kitaa kuna vpn nyingi ambazo wadau wanadai zinapunguza data kuisha au kutumika zingine wanasema ukiwa nayo unatumia data bure
  17. Hii ndio VPN na faida zake , je ina msaada wowote kwa Taifa ?

    VPN au VIRTUAL PRIVATE NETWORK ni teknolojia ambayo inakupa ulinzi na usalama wakati unatumia Internet hususani Public networks au mitandao ya Umma . Kwa kifupi inazuia kuonekana utambulisho wa kifaa chako ambayo network husika imekipa au kitaalamu ni IP ADDRESS . Hivyo ni ngumu taarifa zako...
  18. Serikali yazuia mtandao wa X na TikTok, walazimika kutumia VPN ili kupata huduma kwenye mitandao hiyo

    Wakenya wengi waripoti shida ya kuweza kutumia mtandao wa X pamoja na TikTok. Hii ni baada ya mitandao hii kutumika zaidi kupanga harakati za maandamano na kuhamasishana kuunga mkono maandamano hayo.
  19. D

    Waziri Nape saidia mfumo wa polisi upo chini kwa wiki nzima sasa

    Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na Watumiaji au Server ndio tatizo. Waziri atoe msaada wake.
  20. R

    Naomba turuhusiwe kutumia VPN wakati wa hili janga la Internet

    Tangu jana sisi ambao asilimia kubwa ya kazi zetu zinategemea mtandao wa internet tumeathirika vibaya. Ningeomba mamlaka ya mawasiliano itoe ruhusa ya kutumia VPN bila kuomba kibali kwa kipindi hiki kigumu maana sidhani kama tatizo hili litatatuliwa mapema. Kuna sites kadhaa natumia kwa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…