vurugu mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ernest Mgawe amesema alitumwa na Heche na Mange kuratibu vurugu mwendokasi

  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Sasa polisi wataanza kuvaa kiraia kwenye Mwendokasi kama kwenye kesi ya CHADEMA kufuatilia nyendo za wananchi

    Wakuu, Mliona jinsi polisi walivyoanza kuvaa kiraia na kujaza nafasi kwenye kesi ya Lissu ili kuzuia wananchi na wanachama wa CHADEMA kuhudhuria kesi hiyo huku wakifuatilia kwa ukaribu mazungumzo ya wananchama hao? Mara tukaona na mpiga picha wa polisi akiwa na nguo kabisa za kipolisi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

    Wakuu, Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata baada ya kupiga risasi moja juu, walijua nini kinaenda kutokea baada ya raia kudinda, wameona...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi kushambulia mwendokasi media kubwa zote hadi TBC wameuchuna, waliopost wameepuka kuandika wananchi washambulia!

    Wakuu, Hii inashangaza! Chalamila alipoenda kutembelea mwendokasi jana Oktoba 1 asubuhi media zote zilipost,na uchawa wa kutosha kwenye maigizo na maagizo yaliyotolewa! Sawa, walitimiza wajibu wao, wananchi tukahabarika. Mambo yakageuka wananchi walipogomea mwendokasi na kufanya vurugu...
  5. JamiiForums Tanzania Magomeni: Vurugu zazuka, ofisi ya mabasi ya mwendo kasi yavamiwa na kupelekea kuvunjwa vioo

    Kutokana na kero ya usafiri na uhaba wa mabasi ya mwendo kasi, wananchi wenye hasira kali wamevamia ofsi za tiketi na mabasi ya mwendo kasi na kuanza kupasua vioo na kuumiza wafanyakazi wa kampuni hiyo. Fujo zimezuka usiku huu, polisi Bado hawajafika Wanasiasa endeleeni kujidanganya ati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…