GE2025 Uteuzi UDART: Pius Ng'ingo Mkurugenzi Mkuu, Waziri Kindamba atenguliwa. Said Tunda ateuliwa Mtendaji Mkuu, Dkt. Kihamia atenguliwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
1759407152818.jpeg

Wakuu,

Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata baada ya kupiga risasi moja juu, walijua nini kinaenda kutokea baada ya raia kudinda, wameona kitakachokuja kutokea mbeleni kazi wanayo.

Ila watendaji hawa wana makosa gani wakati shida ipo kwenye serikali? Tunajua tatizo lilipo lakini zigo wanaangushiwa kwengine.

Gen Z Mbagala fanyeni kitu tupone😂😂🤣, tupo vizuri, mambo yanaenda vizuri kabisaaa!
​
=====

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-

(i) Bw. Said Habibu Tunda ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Bw. Tunda anachukua nafasi ya Dkt. Athumani Kihamia ambaye uteuzi wake umetenguliwa; na

(ii) Bw. Pius Andrew Ng'ingo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Bw. Ng'ingo anachukua nafasi ya Bw. Waziri Kindamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Sharifa B. Nyanga
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Screenshot_20251002_113713_Instagram.jpg
 
Yani moto unabidili upelekwe mpaka wa elewe tu😂😂😂😂
 
Nani ana wasifu wa hawa wateuliwa?
Ifike mda hizi nafasi za wakurugenzi wa mashirika/taasisi za umma watu waombe wafanyiwe usaili.

Hizi za uteuzi zimethibitisha kufeli, tuachane nazo.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-

(i) Bw. Said Habibu Tunda ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Bw. Tunda anachukua nafasi ya Dkt. Athumani Kihamia ambaye uteuzi wake umetenguliwa; na

(ii) Bw. Pius Andrew Ng'ingo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Bw. Ng'ingo anachukua nafasi ya Bw. Waziri Kindamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Sharifa B. Nyanga
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Ajitengue mapema, maana trh 29, Inamuhusu.

Hatuwez kuwa na Rais ambaye hajui anafanya kazi Gani ikulu.
 
Back
Top Bottom