Hata kule Nepal ndio vivyo hivyo ilikuwa, kukiwasha ndio wenye mamlaka wanasikia. Tatizo ni kwamba utaratibu wa kukiwasha hauko kwenye katiba na wala hauna muongozo. Hilo liangaliwe kwenye katiba mpya ili wananchi wajue utaratibu wa kukiwasha ukoje kwa mamlaka kuchukua hatua.Jana raia wamekiwasha Magomeni.
Leo naona mabasi mapya yametolewa.
Kumbe kikiwaka ndo wanatelekeza eeh?
Siasa tuu.
Udart na dart tofauti yake nini?
Majukumu yao ni nini?
Au Ukiritimba tuu.
Niliongelea kwenye huu uziNani ana wasifu wa hawa wateuliwa?
Ifike mda hizi nafasi za wakurugenzi wa mashirika/taasisi za umma watu waombe wafanyiwe usaili.
Hizi za uteuzi zimethibitisha kufeli, tuachane nazo.
Kumbe naye ana uwinda Ubunge?Kindamba hajawahi kuwa mweledi serikalini. Ni Kada tu wa CCM aliyepoteza malengo ya ubunge
Huyu ukiisha uongozi wa Ssh sijui kama uongozi mwingine unaweza kumbeba tena, atarudi kwenye siasa za chamaKumbe naye ana uwinda Ubunge?
Inaonekana Mama hawezi kumtupa, anaweza kutafutiwa Mkoa hata huko Katavi
Duplicate..!.lengo sijui ionekane inapata hasara kwa operation costs kuonyesha hii ilikuwa elephant Project ?Siasa tuu.
Udart na dart tofauti yake nini?
Majukumu yao ni nini?
Au Ukiritimba tuu.
Wakuu,
Wananchi mmeoana vile nguvu yenu inayoweza kufanya! Kidogo tu wametema bungo, Murilo anaongea kistaarabu kama anaongea na wananchi wa Tanzania😂🤣🤣. Raia hawakuogopa kitu jana, polisi hata baada ya kupiga risasi moja juu, walijua nini kinaenda kutokea baada ya raia kudinda, wameona kitakachokuja kutokea mbeleni kazi wanayo.
Ila watendaji hawa wana makosa gani wakati shida ipo kwenye serikali? Tunajua tatizo lilipo lakini zigo wanaangushiwa kwengine.
Gen Z Mbagala fanyeni kitu tupone😂😂🤣, tupo vizuri, mambo yanaenda vizuri kabisaaa!
=====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
(i) Bw. Said Habibu Tunda ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Bw. Tunda anachukua nafasi ya Dkt. Athumani Kihamia ambaye uteuzi wake umetenguliwa; na
(ii) Bw. Pius Andrew Ng'ingo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART). Bw. Ng'ingo anachukua nafasi ya Bw. Waziri Kindamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Uteuzi huu unaanza mara moja.
Sharifa B. Nyanga
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu
Lakini kabla ya hapo alikuwa Boss wa TTCL, huenda akarudishwa Utumishi apangiwe majukumu mengineHuyu ukiisha uongozi wa Ssh sijui kama uongozi mwingine unaweza kumbeba tena, atarudi kwenye siasa za chama
TTCL alikua acting akapiga figisu DG akatumbuliwa then yeye ndio akawa DG, alitokea privateLakini kabla ya hapo alikuwa Boss wa TTCL, huenda akarudishwa Utumishi apangiwe majukumu mengine
Na jamaa anaonekana anazijua fitna na mdomoni yupo vizuriTTCL alikua acting akapiga figisu DG akatumbuliwa then yeye ndio akawa DG, alitokea private