vurugu uchaguzi zambia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Maaskofu Wakatoliki Zambia: Hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo

    Baraza la Maaskofu Katoliki Zambia (ZCCB) limeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mwenendo wa uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13, 2026, likisema hali iliyojitokeza baada ya uchaguzi imeweka mashaka kuhusu uadilifu wa mchakato huo. Katika taarifa yao ya kichungaji yenye kichwa “Peace sown by...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zambia yasitisha uhesabuji wa kura kutokana na vurugu

    Zambia imesitisha zoezi la kuhesabu kura kote nchini leo Ijumaa kufuatia ripoti za vurugu katika baadhi ya maeneo. Afisa mkuu wa uchaguzi Brown Kasaro amesema "Ghasia hizo zinawalenga wafanyakazi wa uchaguzi, na katika baadhi ya matukio zimesababisha wizi wa karatasi za kura kwenye masanduku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…