Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?
Asanteni
Moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hizi biashara za vyakula mfano: miwa iliyo menywa, mahindi ya kuchomwa, nk. Hivi hushikwa shikwa na watayarishaji hasa kwa miwa. Mahindi ya kuchomwa hushikwa shikwa hata na wateja kujiridhisha ugumu au ulaini wake.
Sahani za vyakula, nyuma (uma), vijiko, vikombe...
Wasamaria wema kutoka katika jumuiya mbalimbali za kijamii jijini DSM wametoa msaada wa vyakula na maji safi ya kunywa kwa watu walio katika karantini kwenye hosteli za Magufuli pale UDSM.
Mmoja wa wasamaria hao amesema walipata taarifa kuwa baadhi ya watu walio katika karantini hawana hata...
Wakuu wa Mikoa kote nchini wameagizwa kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuuza sukari kwa shilingi 4500.
Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa.
Majaliwa ameyasema hayo leo...
Nimewasikia baadhi ya viongozi wa Bakwata mkoani Shinyanga kupitia ITV wakilalamika kupotea kwa sukari na mfumuko wa bei za vyakula wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Viongozi hao wanadai wafanyabiashara wasio waaminifu wameficha sukari ili waje waiuze kwa bei ya juu pindi mfungo utakapofika...
Habari wakuu,
Moja kwa moja nijielekeze kwenye hoja ya msingi. Nahitaji elimu itakayotufaa kipindi hiki cha kujihami na janga la COVID-19.
Je, ni vyakula gani tunapaswa kuhifadhi ili visaidie kwa kipindi kirefu zaidi tutapokuwa majumbani kwetu.
Kwa kuongezea pia ni vitu gani muhimu kuwa navyo...
Kutokana na Ugonjwa wa #COVID19 familia nyingi zimejikuta katika wakati mgumu ambapo zinatakiwa kukaa ndani ili kuzuia kuenea kwa maambukizi. Hii ni baadhi ya namna ya kukufanya ule chakula chenye virutubisho vya kutosha
1. TUNZA MATUNDA NA MBOGAMBOGA
Kununua, kutunza na kupika mbogamboga...
MTAALAMU wa lishe kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Maria Samlongo, amesema wanaojinyima kula vyakula vya wanga ili kupunguza uzito wako hatarini kuathiri uwezo wa ubongo kutokana na kundi hilo la chakula kuhitajika zaidi.
Alisema vyakula vya kundi la wanga husaidia ubongo...
Nimezaliwa na kulelewa Bukoba mpaka nilipoanza kidato cha kwanza ndo kama nilihama mkoa wangu mpaka sasa umri unasoma kula chumvi nyingi.
Tangu miaka hiyo sijawahi kukutana na vyakula hivi vya asili kwa majina ya kihaya vinaitwa:
"Amakongo"
"Ebira"
"Ebira ebilikweera"
"Amasoma"
"Enumbu"...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii habari, kuwa kuna vyakula/vinywaji hutakiwi kula kwa wakati mmoja. Yaani "mfano" ule yai wakati huo huo ule ndizi utakufa.
Je ni kweli na kama kweli vipo? Msaada wa kuvitaja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.