Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu.
Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?!
Ahsante.
Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene) katika orodha ya vyakula ndani ya ndege katika safari za kimataifa zinazofanywa na ndege zake...
Katika msururu wa kuadhimisha Siku ya Uelewa kuhusu ugonjwa wa Kisukari tunakupatia vidokezo vya namna kukabiliana na ugonjwa huo na jinsi ya kuulinda na jamii nzima.
Idadi ya watu wenye kisukari duniani kote inakadiriwa kufikia milioni 422 lakini ukweli ni kwamba hata watoto wanaambukizwa...
Serikali Serikali Serikali, mrudisheni Waziri Kalemani haya tunayo yapitia hata kama ni kukarabati, inamaana huu ukarabati ndio utafanya umeme uwe wa bei rahisi au utakuwa na nguvu zaidi ya kawaida au utakuwaje mwenzenu sijaelewa
Mboga zote na vyakula kwenye friji tumeanza kuvila ili viishe...
Kama utambulisho unavyoeleza, hii tabia imeonekana kuzoeleka na hata kuonekana ni jambo la kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika na huwezi kuona vitu kama hivyo katika nchi za wenzetu kwani kwa kufanya hivyo wao wanaona ni kutokustaharabika.
Je, kwako binafsi inauchukuliaje tabia hii?
Je...
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula.
Mtu mmoja anaweza kula...
Sote tunajua sukari ni tamu na ni miongoni mwa bidhaa zinazotumika kwa wingi kila siku katika nyumba zetu. Lakini licha ya umuhimu wake, sukari ni hatari kwa ustawi wa afya wakati inapotumiwa kwa wingi kupita kiasi.
Kwa kawaida kiwango cha sukari tunachotakiwa kutumia katika vinywaji vyetu...
Watu ni wajinga sana, kitu cha maana wanachokiona ni kujengewa zahanati kila kijiji, lakini nawaambia hivi Medical system yoyote pale duniani zinafanana kwa principle zake za uendeshaji.
Medical system haipo kwa ajili ya kutibu na kufuta magonjwa bali kuyaongeza na kuyaongeza zaidi, watu...
Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa?
12 Julai 2019
Imeboreshwa 25 Aprili 2021
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES
Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja kinaweza kuimarisha tendo la ndoa na kukuzidishia hamu, huenda kungekuwa na uhaba wa chakula hicho...
Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi.
Katika makala yafuatayo...
Ni takribani miaka miwili sasa tangu serikali ya Tanzania kupitia bunge letu tukufu walipoamua kuliongezea majukumu zaidi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kusimamia ubora na usalama wa vyakula.
Awali, jukumu la usimamizi wa ubora na usalama wa chakula lilikuwa linafanywa na iliyokuwa mamlaka...
Dodoma. Serikali imesema watu wanaojiita watoa tiba kwa kutumia vyakula wanatakiwa kuendesha shughuli hiyo kwa kibali cha Wizara ya Afya.
Katazo hilo limetolewa na mganga mkuu wa Serikali, Dk Aifello Sichwale jana Ijumaa Septemba 11, 2021 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa...
Limeandikwa na BBC
Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu
21 Agosti 2021
Imeboreshwa 10 Septemba 2021
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya...
Aina ya sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu.
Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine.
Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada...
Habari!
Nimeongea na mama nitilie kadhaa nimegundua kuwa sasa wameamua kuachana na waganga wa kienyeji katika kukuza biashara zao. Na sasa wameamua kutumia mafuta na maji ya upako ambavyo vinapatikana kwa bei ndogo na kwa uwazi.
Bila kujali dini au madhehebu yao wamama na wadada hawa...
Habari members.
Kuna jamaa yangu alinyweshwa maji ya betri na majambazi. Mungu alimsaidia hakuimeza lakini imeathiri kinywa chake. Amekua akipata shida kutafuna na kwa upande wa kuongea ulimi wake umekua mzito.
Je, kuna tunaweza kumsaidiaje ili ulimi wake urudi katika hali ya kawaida...
RANCIDITY NI NINI?
Rancidity ni hali ya kuharibika kwa mafuta ya kupikia au mafuta yaliyo katika vyakula mbalimbali kama vile samaki au nyama kutokana na jinsi yanavyotumika, kuhifadhiwa au kupita muda wake wa matumizi (expired). Katika kuharibika hutoa kemikali ambazo ni hatari kwa afya ya...
Heshima kwenu wasomaji na wapiga kura.
Leo nataka niwape vijana fursa ambayo kwa miaka imedharaulika.
Biashara ya maduka ya vyakula inaweza kumtoa mtu yeyote yule lakini inategemea na eneo na moyo wako wa kuifanya.
UMUHIMU WA KUFANYA UTAFITI KWANZA
Kuna maeneo yanayotifautina sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.