Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki.
Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu;
1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya
2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge
3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari.
4. Maduka ya vinyago
5.Wamiliki wa...
Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati?
Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu.
Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi kupelekewa sukari/wanga inayozidi kutunzwa ndani ya mwili ikiwemo kwenye ini, misuli n.k.
Utunzwaji...
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!
Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi
Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na...
Habari JF,
Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako?
Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam
Makazi ya kijana huyu...
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana
Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500
Mahindi kilo utakuta 700-1000
Maharage utakuta 3000-3500...
Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Nimejikuta hivi vyakula ni sehemu ya mlo wangu karibu Kila siku, ukiwa nyumbani utakuta pamepikwa , uingie mtaani hadithi ni Ile Ile, nimevichoka ila sasa sielewei najinasuaje , vyakula hivi ni 1. Wali 2. Ugali 3. Chips 4. Chapati 5. Ndizi na mboga hizi 1. Nyama 2. Samaki( samaki na dagaa) 3...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi.
Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa hawana majibu kwa hili jambo.
Mzee mmoja akaniambia kwa hiyo ulitaka mwenyekiti wa chama ahutubie...
Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa.
Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu.
Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa Tanzania unakuta kwenye masoko adimu sana.
Tatu ni wapenzi wa viungo ukilinganisha na Tanzania yani...
Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
Anonymous
Thread
biashara
biashara ndogondogo
kuku
mkubwa
mlipuko
ng'ombe
nyama
sana
vyakula
Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?
Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati.
Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.