vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni sahihi kwa mama mjamzito kubagua vyakula?

    Huyu dada tangu amepata ujauzito wangu, amekuwa ni mtu wa kubagua vyakula; hataki kula mchicha, chainizi, tembele, bamia, nyanya chungu, yaani mboga za kuota shambani hataki. Yeye anataka kitimoto, nyama ya mbuzi, kuku, samaki sato; kwa ujumla anataka kula vizuri vizuri tu, mbaya zaidi anataka...
  2. Tourism Value chain upande wa Vyakula kuna shida sana Tanzania

    Sekita ya Utalii ni kubwa sana na ni pana sana, ina chain ndefu sana nitataja chache tu; 1. Mawakala wa utalii hawa wako huko ulaya 2. Wasafiridha watalii, kuja Tanzania, hapa kuna ndge 3. Waongoza Watalii hawa ni makampuni ya kupeleka watalii porini na gari. 4. Maduka ya vinyago 5.Wamiliki wa...
  3. Naomba kujua Machimbo ya sehemu za kuchill pale posta, Vyakula na Vinywaji ni vya bei nafuu

    Nina jambo langu hapo Posta mpya naomba mtu mwenye kuyajua machimbo anipe area code. Asanteni
  4. Taja vyakula ambavyo ukivila kabla au baada ya kunywa pombe lazima utapike na ambavyo hutatapika

    Naanza Wali utatapika Ugali maini hutapiki Kitimoto hutapiki Mahindi ya kuchoma utatapika
  5. Wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula wana matatizo gani?

    Kwa nini mtu anaweka sukari kwenye maharage, tambi na chapati? Sijawahi kuweza kuelewa watu wanaoweka sukari kwenye hivi vyakula huwa na matatizo gani.
  6. Sukari na vyakula vya wanga chanzo Cha magonjwa mengi yasioambukiza

    Wanga na sukari ni vyakula ambavyo hutia mwili nguvu. Lakini ulaji wa vyakula aina hiyo unapaswa kuangaliwa kwa umakinj mana ni kiasi kidogo mno ambacho hutumika kuleta nguvu kwa mtu. Hivyo basi kupelekewa sukari/wanga inayozidi kutunzwa ndani ya mwili ikiwemo kwenye ini, misuli n.k. Utunzwaji...
  7. Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na...
  8. Kijana mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa anatafuta kazi Dar es Salaam

    Habari JF, Je unahitaji mpishi mwenye ujuzi mkubwa wa kupandisha mauzo yako kwa kuongeza wateja wengi katika biashara hako? Kama ndiyo basi yupo kijana mdogo mwenye ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kisasa vyenye hadhi kubwa anatafuta kazi ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam Makazi ya kijana huyu...
  9. Kwanini tunasema mkoa fulani maisha magumu vyakula gharama juu ilihali tanzania nzima bei za vyakula vikuu ziko flat rate

    Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana Kwa mfano mchele mzuri utakuta 2000-2500 Mahindi kilo utakuta 700-1000 Maharage utakuta 3000-3500...
  10. TAMISEMI: Madeni ya Wazabuni wa Vyakula Mashuleni yatalipwa baada ya uhakiki

    Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  11. M

    Unakwepaje Vyakula hivi

    Nimejikuta hivi vyakula ni sehemu ya mlo wangu karibu Kila siku, ukiwa nyumbani utakuta pamepikwa , uingie mtaani hadithi ni Ile Ile, nimevichoka ila sasa sielewei najinasuaje , vyakula hivi ni 1. Wali 2. Ugali 3. Chips 4. Chapati 5. Ndizi na mboga hizi 1. Nyama 2. Samaki( samaki na dagaa) 3...
  12. J

    Wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku Ruvuma

    Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
  13. U

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au Sabato!

    Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo. Wadau hamjamboni nyote? Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe...
  14. Pre GE2025 Kwanini mwaka wa Uchaguzi Mkuu nchini huwa hakuna mvua? Tunzeni vyakula ndugu zanguni

    Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi. Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa hawana majibu kwa hili jambo. Mzee mmoja akaniambia kwa hiyo ulitaka mwenyekiti wa chama ahutubie...
  15. Kwanini makande hayapatikani sehemu za kuuza vyakula?

    Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
  16. AFYA: Kwa nini nchi zenye ulaji mzuri wa vyakula sio wapenzi wa nyanya?

    Ukienda china, japan, korea, nigeria, ghana na nchi ambazo mtakuwa mashaidi swala la matumizi ya nyanya sio kapumbele sana kama huku kwetu. Pili wenzetu ni watumiaji wa pilipili ambazo hapa Tanzania unakuta kwenye masoko adimu sana. Tatu ni wapenzi wa viungo ukilinganisha na Tanzania yani...
  17. A

    DOKEZO Serikali iliangalie hili la uuzwaji vyakula mtaani bila vibali maalum; kuna hatari kubwa mbeleni

    Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
  18. Sio kila siku unakula vyakula common

    Inabidi week yako moja uamue tu hakuna kula ugali wala wali ni mwendo wa ndizi, choroko, soya, pweza, papai, tango, Viazi, maziwa, maji, karanga.
  19. Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia?

    Kwanini Wanaonunuliwa Vyakula au Vinywaji Mahotelini na Mighahawani ndiyo huwa Waongeaji wa Kupitiliza kuliko wale ambao ndiyo Wamewanunulia? Kwani wameambiwa kuwa wakinyamaza na Kula au Kunywa wale Waliowanunulia wanaweza kuwadai walichowanunulia?
  20. Kutumia sponge kupika chapati ni salama kiasi gani kwa afya za walaji?

    Kumekuwa na tabia ambapo wapika chapati wengi mitaani hasa migahawa ya jioni hutumia sponge/vipande vya godoro kupika chapati. Je, bidhaa hiyo ni salama kwa kutumika kupikia chapati? Kama kuna Wataalamu wa Afya naomba kujibiwa ama ni uelewa wangu mdogo kuhusu usalama wa chakula na sponge hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…