vyakula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Utapeli wa vyakula kwa wasafiri

    Pesa ilivyokuwa ngumu. Nilisafiri kutoka Dar kuja Musoma, njiani kwenye vituo vta miji mbalimbali wauzaji wa vyakula wamekuwa sio waaminifu kabisa. Dodoma nauziwa kuku wanasema ni wa kienyeji kumbe ni kuku wa mayai aliyekomaa na kushindikana. Inapokuwa safarini usinunue kuku. Maeneo mengine...
  2. Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  3. Aina za vyakula vitakavyoboresha uwezo wako wa kuona

    Samaki ni chakula bora kwa afya ya macho hasa wale wa maji baridi, kwani wamejaa asidi ya mafuta ya omega-3 ambayo ni muhimu kwa ajili ya kuzuia macho angavu (kunyauka kwa macho), kudhoofu kwa misuli ya macho na hata mtoto wa jicho. Kama umeshindwa kula vyakula hivi vya baharini unaweza kula...
  4. Tujiulize kuhusu usalama wa vyakula Tanzania

    wakuu, leo mtujikite kwenye mada ya vyakula, katika dunia ya sasa 90% ya vyakula tunavyokula ni industrial processed ni sehemu chache sana zilizobaki hasa vijijini ambapo unapata chakula pure, ambacho hakina preservative, ila mostly vyakula tunavokula vinatoka kwenye industries na makampuni...
  5. N

    Kwa huu uzushi Serikali ipige marufuku mahindi kwenda Kenya, badala yake mahindi ya ziada yatumike kuzalisha vyakula vya mifugo

    Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 wakenya 317 waliugua na 125 walifariki kutokana na kutumia...
  6. Leo nataka kula majongoo; mkakati wangu wa kugundua vyakula vipya

    Nimechoka kula wali ugali ndizi tambi nk nimeamua kujaribu vyakula vipya kabisa vitakavyonipa ladha mpya. Nimeanza na majongoo Yale makubwa meusi. Nitayala kwa mfumo wa kuyakaanga kwenye mafuta. Nitawekea picha. Mungu nisaidie.
  7. Choo ni kipimo cha ustaarabu katika jamii

    Choo ni sehemu ya muhimu sana, iwe nyumbani, hotelini, ofisini, sokoni, safarini, nk. Utunzaji wa choo unahusisha usafi wake. Ukitaka kufahamu ustaarabu wa jamii angalia mpango lip wa vyoo na usafi wake. Hata uishi kwenye nyumba yenye thamani ya mabilioni, kama choo chako ni kichafu...
  8. M

    Vyakula vipi vinaleta wateja?

    Ukiwa unataka kufungua restaurant au mgahawa. Unatakiwa uwe na ujuzi wa vyakula vya aina gani? Vile vile ni vyakula vipi ni pendea sana na vinaleta wateja?
  9. Ni vyakula gani vinafaa kuliwa unapokuwa kwenye break up?

    Poleni na majukumu wadau, Mapenzi bwana acha yaitwe mapenzi, tuseme tu kwa kifupi hayana formula Unaweza ukawa na hela ukapigwa chini, unaeza ukawa hb ukapigwa za uso na unaweza ukawa fundi wa kuchezea vizazi ila ukapigwa chini vile vile. Kuna kile kipindi unaenjoy mahusiano hadi unatamani...
  10. Tujenge utaratibu wa kusafiri na vyakula vya kula njiani

    Wenye hoteli za njiani wengi hawatapenda hili bandiko. Lakini kusafiri na chakula ni muhimu hasa unapokua na watoto. Bei ya vyakula njiani ni kubwa pia ubora wake unatia mashaka. Unakuta viazi vitamu viko kwenye karai vimepata vumbi la kutosha tu, vingine unanunua unagundua vimeanza kuoza...
  11. Kuna watu bwana vyakula vingine hawawezi kula au kuchanganya anahisi atatapika

    Kama Mimi kuna jamaa zangu mmoja hawezi kula ndizi mbivu anahisi atatapika, mwingine huyo anasema akila wali na soda basi lazima arudishe basi fuluuu raha unakuta mimi nafurahi kweli nasombelea tu, Ila mimi sasa nikila samaki na chai hapo naweza kutapika vyote maana nahisi kichefuchefu na...
  12. Sheria zipi za kufuata endapo ninahitaji kufungua duka la dawa za mifugo na vyakula vya mifugo?

    Habari za muda huu mwanajukwaa. Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata. Ikiwa ni lesen na vyeti je ninapaswa kuwa na lesen ya aina gani? Na cheti cha aina gani? Na je ni lazima niwe nimesomea masuala ya...
  13. N

    Dada angu anatafuta kazi mpishi mzuri wa vyakula vya mgahawani hotel

    Habari zenu wadau, Nina dada angu anatafuta amesomea mambo ya hotel so ni mpishi mzuri.Mbali na hlo pia anaweza kufanya kazi kama dukani na nyingne za halali. Kwa mawasiliano niibox ili nikuunganishe nae.
  14. R

    Chakula kinaitwa MIX kwa sasa ni uchafu, wabongo tukomae na vyakula vyetu hivi vya waarabu tuwaachie wao

    Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi...
  15. Natafuta ofisi ya kusambaza vyakula

    Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana 🥗 🥘 Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na ukatengenezewa) Sample ipo kwenye picha hapo chini 👇🏿 Bei zangu ni 3,000/- TZS tu Call/Text/WhatsApp...
  16. D

    INAUZWA Nauza Duka la jumla la Vyakula

    Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000. Biashara Ni nzuri Sana na ofisi Ni nzuri ila Mimi nahama makazi; nahamisha familia namfuata mume wangu. Hutojuta...
  17. Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  18. Mlipuko mpya wa virusi vya Corona waibuka jijini Beijing, China kutoka kwa samaki kwenye soko la vyakula la Xianfadi

    Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
  19. M

    Wapishi wa vyakula, vitafunwa, chips pamoja na wahudumu wanahitajika haraka

    Sifa 1. Awe anajua kupika chakula na vitafunwa vyenye radha nzuri 2. Awe na lugha nzuri Sana 3. Usafi wake na mahala pa kazi ni sifa nyingine muhimu 4. Nidhamu pamoja na kuheshimu mda wa kufika kazini 5. Ajira ni ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja Mahari Rhian tastfood restaurant, Mabibo-Dar Es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…