vyama

  1. Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

    Hii namna ya uenezi inanitia hofu. Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya? Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania? https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
  2. Vyama vya upinzani kemeaneni kuhusu suala hili kabla ya Uchanguzi 2024-2025

    Wabunge na madiwani wa Kambi ya upinzani wakichaguliwa kwa taabu kubwa kisha kuhamia chama tawala wakiwa wabunge na madiwani hivyohovyo na kusababisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo kunawauma sana na kuwakatisha tamaa wafuasi wenu waliowapigia kura, kuzihesabu na kuzilinda.. Huku ni sawa na...
  3. Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  4. B

    Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati

    Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti. Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
  5. B

    Vyama vya Upinzani Tanzania vinashindana, vikipata mshindi ndio mapambano dhidi ya CCM yataanza

    Asalam, Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah. Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
  6. B

    ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  7. CHADEMA inazuia Watanzania kuanzisha vyama vingine vya Siasa?

    Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania. Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM...
  8. Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

    1. Mwabukusi 2. Mdude 3. Anangisye 4. Jwani Mwaikusa 5. Dkt. Ulimboka 6. Mwangosi Bonus Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya Mtaji wa kisiasa wanao, 2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
  9. J

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  10. Tanzania inafuata misingi yote ya Demokrasia ya vyama vingi

    Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko. Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
  11. Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar. Taarifa zinaonyesha kwamba...
  12. M

    Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  13. M

    Kuna wakati huwa sivielewi vyama vya upinzani hasa Tanzania wanasimamia nini na wanataka nini?

    Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku. Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia. Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa...
  14. M

    Naona vyama vya upinzani vinajinyonga vyenyewe. Sijui ni uwezo mdogo au shule finyu!!

    Hebu fikiri eti akina Mdude, Slaa na Mwabukusi eti wanatoa tamko la maandamano Leo. Kwa tuliojaliwa kuwa na akili tayari huo ni mpasuko mkubwa kwa vyama vya upinzani kwamba wameishiwa pumzi sasa wanatafuta wasiokuwa na vyama wawasaidie huenda watawasikiliza. Sisi tutajiuliza mbona Slaa...
  15. I

    Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia katika Baraza maalum la vyama vya siasa

    Mwanaharakati na Msomi maarufu nchini ameandika katika ukurasa wake wa mtandao: Tarehe 11.09.2023) niliangalia na kusikiliza kwa makini, huzuni, mshangao na masikitiko makubwa sana Marudio ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan akifungua Baraza Maalum la Vyama vya Siasa. 2) Kuna siku ntapenda...
  16. Mkutano Maalum wa Vyama vya Siasa, Septemba 13, 2023

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini Katika Siku hii...
  17. CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

    Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa...
  18. Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  19. Kikwazo cha Katiba Mpya yenye mfumo wa vyama vingi ni CCM

    Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM. Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
  20. Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…