Hii namna ya uenezi inanitia hofu.
Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya?
Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania?
https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
Wabunge na madiwani wa Kambi ya upinzani wakichaguliwa kwa taabu kubwa kisha kuhamia chama tawala wakiwa wabunge na madiwani hivyohovyo na kusababisha kufanyika kwa uchaguzi mdogo kunawauma sana na kuwakatisha tamaa wafuasi wenu waliowapigia kura, kuzihesabu na kuzilinda..
Huku ni sawa na...
Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
Vyama vya upinzani na wanaharakati ni makundi mawili tofauti yenye mwonekano wa kufanana lakini kiuhalisia ni yenye kutofautiana sana. Yote mawili hujinasibu kumtumikia mwananchi kwenye agenda za ukombozi, ila yakiwa na malengo tofauti.
Kwenye muktadha wa siasa za hapa kwetu, agenda kuu ni...
Asalam,
Tukumbushane, 20% wanataka vyama vingi, 80% wanaitaka CCM kama Chama Pekee. Hapajakuwa tena na kura za maoni tofauti na hizo. Matokeo ya Uchaguzi Mkuu hayajawahi kushinda huu utafiti wa Je tuwe na vyama vingi au lah.
Hoja, hii 20% haina rangi kiasi kwamba unaweza kusema ni yule na...
Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla.
Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania.
Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM...
1. Mwabukusi
2. Mdude
3. Anangisye
4. Jwani Mwaikusa
5. Dkt. Ulimboka
6. Mwangosi
Bonus
Wanatuona manyani nae wa huko Mbeya
Mtaji wa kisiasa wanao,
2025 target iwe mikoa ya nyanda za juu kusini Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe na Rukwa hasa urban areas.
"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila...
Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko.
Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar.
Taarifa zinaonyesha kwamba...
CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa.
Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi.
Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
Mfano, utakuta wanakwambia eti Putin ni mwamba kabisa. Muda mwingine wanawashingilia Putin na kiduku.
Sasa Rais akiamua kuwaiga hao wanaowaita miamba wanalia tena kwamba ameminya demokrasia wakati hao akina punin wamepiga marufuku demokrasia.
Samia leo akisema hakuna uchaguzi tena hapa...
Hebu fikiri eti akina Mdude, Slaa na Mwabukusi eti wanatoa tamko la maandamano Leo. Kwa tuliojaliwa kuwa na akili tayari huo ni mpasuko mkubwa kwa vyama vya upinzani kwamba wameishiwa pumzi sasa wanatafuta wasiokuwa na vyama wawasaidie huenda watawasikiliza.
Sisi tutajiuliza mbona Slaa...
Mwanaharakati na Msomi maarufu nchini ameandika katika ukurasa wake wa mtandao:
Tarehe 11.09.2023) niliangalia na kusikiliza kwa makini, huzuni, mshangao na masikitiko makubwa sana Marudio ya Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan akifungua Baraza Maalum la Vyama vya Siasa.
2) Kuna siku ntapenda...
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hussein Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwisho ya Mkutano Maalum wa wa Siku 3 wa Vyama vya Siasa na Wadau ambapo wamejadili Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi, Hali ya Demokrasia na Siasa kwa ujumla Nchini
Katika Siku hii...
Nimejaribu kufuatilia sijaona mwakilishi wa hizi tasisi mbili. Ama kweli mungu huwa anawafunulia watu wake. Mara myingi kitima ndo huwa anahwakilisha TEC
Huwezi ukaenda kwenye jukwaa lililojaa wanafiki huku mkiambiwa katiba ni sawa na gazeti haileti maendeleo aha ha aha a bure kabisa...
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.
Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?
Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977.
Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM.
Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah.
Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.