PreGE2025 Tunaomba kujua hivi vyama ambavyo vinatoa tamko kila kukicha

PreGE2025 Tunaomba kujua hivi vyama ambavyo vinatoa tamko kila kukicha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Naona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubali uwezo wa Rais.

Sijui chama cha mapimbi na n.k

Hivi vyama vina uwezo gani yani leo Dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
 
Naona tumekuwa na mazuzu kila kukicha yani leo watu wanaamka asubuhi kuita media wakidai ni chama cha wachoma mkaa kimekubari uwezo wa raisi.
Sijui chama cha mapimbi na n.k

Hivi vyama vina uwezo gani yani leo dar kukawa na chama kikubwa cha pikipiki na bajaji
Hayo ni matawi ya ccm yaliyojificha
 
Tanzania hata aje Mungu mwenyewe akae pale Ikulu atawale ni lazima kutakuwa na walalamishi.

Wakati wa mwalimu kulikuwa na walalamishi, akaingia mzee Mwingi wakawepo walalamishi, akaja Mkapa walalamishi wakaendelea kuwepo, uongozi wa Jakaya kukawa na walalamishi tena walitukana na matusi, utawala wa Magufuli kukawa na walalamishi, akaingia mama Samia ndiyo walalamishi kibaaaao.

Tufanye kazi kwa bidii tupambanie familia zetu.
 
Hapo kwenye walalamishi Kibao hudhani pana offside ya wazi ambayo wengi zaidi wameona?
 
Hapo kwenye walalamishi Kibao hudhani pana offside ya wazi ambayo wengi zaidi wameona?
Ni tabia ya baadhi ya binadamu wachache wanaojilaghai kwamba Dunia ni paradiso.

Hakuna haki Wala usawa na haitokaa itokee maisha yakawa ya haki na usawa. Hata kwa Mungu haipo hivo ndio sababu mtu anazaliwa haoni (kosa lake ni nini)?, mlemavu, hasikii, mweusi / mweupe, mfupi, mrefu, masikini / tajiri. Kulikuwa na malaika mkuu~ hii ina maana Kuna malaika waliokuwa chini yake. Usawa haupo na hautokuwepo.

Mnazaliwa watoto sita kwa baba na mama mmoja lakini Kila mmoja anakuwa na maisha yake tofauti na mwenzie ~ usawa na haki havipo ni kiini macho tu.

Tafuta nafasi fulani katika maisha yako endesha familia yako vile unavyoona inakufaa, wakati wako wa kuishi ukifikia ukomo unakufa halafu inabakia historia baas

Samia atatawala kwa wakati wake ,akimaliza ataondoka ataingia mwingine na maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom