Kuelekea uchaguzi: Tukumbuke duniani kuna walioendelea kwa Chama kimoja, Vyama vingi na kwa udikteta wakizalendo

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi.

Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa.

Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama kimoja chini ya Mao na Ikawa Tajiri chini ya chama hichohicho kimoja chini ya Deng Xioping.

Kuna Singapole iliyotajirika kwa kasi chini ya dikteta mzalendo Lee Kuan Yew.

Kuna marekani ambayo imeendelea kwa mifumo imara ya kidemokrasia. Mifumo ambayo tofauti na kwetu haihitaji uwe mwanaCCM ili utajiri wako udumu. Mtu yeyote wakati wowote bila hata kujihusisha na Siasa anaweza kuwa chochote.

Hili wasomi watusaidie kuwatoa watu matumaini bandia kuwa nchi hii itaedelea kwa kuwa na usawa wa kidemokrasia na mabadiliko ya kisiasa.

Kuna walioendelea kwa kuwa na

Mila na desturi nzuri
Kidikteta
Kidemokraisia
Kidini
Kifalme
Etc

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
 
Vifutwe vinataka kutulete vurugu.demokrasia ya chama kimoja ndio iimarishwe
 
Hata hivi bado nchi inaweza kuendelea. Ila sio lazima kiwe CCM kinaweza kuwa kimoja CHAUMA. Maana CCM imepewa miaka zaidi ya 50 lakini mwendo wa maendeleo ni konokpno. Wanatakiwa wahojiwe wamejpangaje ku9ngeza kasi
 
CCM na akina Wasra wake wameshindwa kuleta maendeleo tangu wachukue madaraka kihalali na hata walipojivua gamba nakuwa wale wanaojipatia madaraka kwa wizi wa kura lakini wameshindwa kuleta maendeleo..No reforms no election.
 
Vifutwe vinataka kutulete vurugu.demokrasia ya chama kimoja ndio iimarishwe
Demokrasia ya chama kimoja ilishindwa ndio maana ikaletwa ya vyama vingi, ni ngumu sana kujichunga lazima uwe na mbadala pembeni, utaona watawala ni woga sana hawataki mawazo mbadala.
 
Haijawahi shindwa Bali ilikuwa ni shinikizo la West Ili kupata hela baada ya majanga ya kiuchumi ikiwemo vita.

Wakati ule kina China wangekuwa na Nguvu kama Leo ,Tanzania isingekuwa na Vyama vingi.

La sivyo mtaendelea kufanyiwa maihizo kama Russia
 
Kwa miaka mingi ili uendelee ndani ya US ulipaswa kuwa mzungu. Hata leo wazungu wana advantage fulani. Hakuna demokrasia huko(labda kama demokrasia ni wengi wape na wengine watajijua)
 
Demokrasia ya chama kimoja ilishindwa ndio maana ikaletwa ya vyama vingi, ni ngumu sana kujichunga lazima uwe na mbadala pembeni, utaona watawala ni woga sana hawataki mawazo mbadala.
Haikushindwa. Sera za uchumi ndiyo zilishindwa.
 
Back
Top Bottom