legend Babushka
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 628
- 1,388
CCM siyo chama kibaya....tatizo ni pale tu wanaposahau maslahi ya wananchi na kuweka maslahi yao mbele. Wakiweza kurekebisha hili, hakutakuwa na kelele wa uhitaji wa vyama vingi.
Udikteta upi uliofeli?Kama unamaanisha Jiwe hajafeli wangemuacha atawale kwa miaka yake 10 kisha tupime matokeo kwa kulinganisha na waliopita.Mkuu...Udikteta Tanzania umefeli..tujaribu njia nyingine.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 80.Tusije tukajisahau kudhani umasikini utaisha kwa kuwa na katiba imara yenye kuleta uwasawa wa kidemokrasia. Hii ni hatua nzuri lakini sio lazima ilete Maendeleo kama watu wetu watakuwa na akili hizihizi.
Kuna pengine hii ndio imeharibu kabisa kabisa.
Kuna CHINA ilikuwa masikini kwa Chama kimoja chini ya Mao na Ikawa Tajiri chini ya chama hichohicho kimoja chini ya Deng Xioping.
Kuna Singapole iliyotajirika kwa kasi chini ya dikteta mzalendo Lee Kuan Yew.
Kuna marekani ambayo imeendelea kwa mifumo imara ya kidemokrasia. Mifumo ambayo tofauti na kwetu haihitaji uwe mwanaCCM ili utajiri wako udumu. Mtu yeyote wakati wowote bila hata kujihusisha na Siasa anaweza kuwa chochote.
Hili wasomi watusaidie kuwatoa watu matumaini bandia kuwa nchi hii itaedelea kwa kuwa na usawa wa kidemokrasia na mabadiliko ya kisiasa.
Kuna walioendelea kwa kuwa na
Mila na desturi nzuri
Kidikteta
Kidemokraisia
Kidini
Kifalme
Etc
Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
Haikugoma,njaa ndio zilitulonzaHiyo ilishagoma toka mwanzo.
Huu uelewa unaondoa mihemki kudhani CCM ikitoka Nchi itaendelea. Unaweza ukawa umebadilisha walaji wa nchi tu. Unatakiwa wanasiasa wapende mbali zaidi ya kujitoa CCM na Kubadili katiba na Sheria za Uchaguzi. Bado hata hayo yakifanyika kama hatuna manpower yenye utashi wa maana unaweza kuishiwa kwenye machafuko tu.Nakubaliana na wewe kwa asilimia 80.
UAE/Dubai hawana chama hata kimoja cha siasa na wamepiga hatua mbali mno.
Swadakta,kuna watu wanaoamini hivyo kwamba tukibadilisha chama fulani tukaingiza chama fulani maisha yatabadilika bila ya kusahau kwamba hao wanaoingia pia hawana utofauti na wanaotoka wote ni wabinafsi shida ndio inaanzia hapo,kama hata wenyewe kwa wenyewe wanageukana sasa wakichukua nchi ndio wataogopa kutugeuka sisi ambao hawatujui kabisaHuu uelewa unaondoa mihemki kudhani CCM ikitoka Nchi itaendelea. Unaweza ukawa umebadilisha walaji wa nchi tu. Unatakiwa wanasiasa wapende mbali zaidi ya kujitoa CCM na Kubadili katiba na Sheria za Uchaguzi. Bado hata hayo yakifanyika kama hatuna manpower yenye utashi wa maana unaweza kuishiwa kwenye machafuko tu.
Zipo nchi zimeendelea kijeshi pia.
Hizo vurugu zinaanzishwa na vyama au watu?.Tatizo ni watu kutojielewa wala sio vyama.Ata chama kimoja kinaweza kikaleta vurugu endapo kutatokea kutoelewana kwa baadhi ya mambo hasa maslahi.Vifutwe vinataka kutulete vurugu.demokrasia ya chama kimoja ndio iimarishwe
Uko sahihi lakini kwakuanzia katiba bora inayotokana na wananchi ni muhimu sana,katiba ndiyo itakayolazimisha tupate hao watu wenye utashi.Katiba itatuwekea misingi imara ya uwajibikaji ili yoyote atakayepata nafasi yakuongoza aishi ndani ya misingi ya hiyo katiba na akienda kinyume wananchi wawe na njia yakumchukulia hatua.Ukakaa ukasubiri hiyo manpower yenye utashi ije utasubiri sana.Na inawezekana watu wazuri wapo ila kianzio ndio kinacholeta shida.Huu uelewa unaondoa mihemki kudhani CCM ikitoka Nchi itaendelea. Unaweza ukawa umebadilisha walaji wa nchi tu. Unatakiwa wanasiasa wapende mbali zaidi ya kujitoa CCM na Kubadili katiba na Sheria za Uchaguzi. Bado hata hayo yakifanyika kama hatuna manpower yenye utashi wa maana unaweza kuishiwa kwenye machafuko tu.
Zipo nchi zimeendelea kijeshi pia.
Jiwe hakua dikteta,hiyo zana ilitengenezwa tu na watu waliopishana naye mitazamo baada yakuona anaamini nakusimama katika maamuzi yake yawe mazuri au mabaya.Hizi nchi za kiafrika kuna muda unatakiwa ukaze,ukiwa laini kuna wajinga watakushika sharubu.Udikteta upi uliofeli?Kama unamaanisha Jiwe hajafeli wangemuacha atawale kwa miaka yake 10 kisha tupime matokeo kwa kulinganisha na waliopita.
Hakuna chama cha siasa ambacho hakiko kwaajili ya maslahi yao,wote dhumuni lao nikunufaika kwanza kupitia wananchi.Tatizo ni sisi wananchi kuviacha vyama vya siasa vijifanye vyenyewe ndio boss wakati maboss ni wananchi.Tukitengeneza utaratibu wakuiwajibisha serikali kila kitu kitaanza kukaa kwenye mstari tofauti na sasa ambapo chama kilichoko madarakani kinajiamulia kufanya kinavyotaka na hakuna wakuhoji.CCM siyo chama kibaya....tatizo ni pale tu wanaposahau maslahi ya wananchi na kuweka maslahi yao mbele. Wakiweza kurekebisha hili, hakutakuwa na kelele wa uhitaji wa vyama vingi.
Uko sahihiJiwe hakua dikteta,hiyo zana ilitengenezwa tu na watu waliopishana naye mitazamo baada yakuona anaamini nakusimama katika maamuzi yake yawe mazuri au mabaya.Hizi nchi za kiafrika kuna muda unatakiwa ukaze,ukiwa laini kuna wajinga watakushika sharubu.
Kwa kuwa utashi unaanzia kwenye moyo/fikra za mtu hata hiyo katiba ikibadilishwa hawataifuatisha maana mioyo yao haiko tayari kufuata muongozo wa makaratasi yanavyosema,kama hawaogopi wananchi unadhani ndio wataogopa makaratasi ya katiba?Uko sahihi lakini kwakuanzia katiba bora inayotokana na wananchi ni muhimu sana,katiba ndiyo itakayolazimisha tupate hao watu wenye utashi.Katiba itatuwekea misingi imara ya uwajibikaji ili yoyote atakayepata nafasi yakuongoza aishi ndani ya misingi ya hiyo katiba na akienda kinyume wananchi wawe na njia yakumchukulia hatua.Ukakaa ukasubiri hiyo manpower yenye utashi ije utasubiri sana.Na inawezekana watu wazuri wapo ila kianzio ndio kinacholeta shida.