PreGE2025 Zitto Kabwe: Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, Karibuni ACT Wazalendo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.

Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."

Zitto Kabwe
1744803256212.png
 
Zitto KabweView attachment 3306274
Wanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo.
 
Haya wale Njaa 55 na Covid 19 mwaliko rasmi huu nendeni
 
Attachments

  • FB_IMG_1744209206308.jpg
    FB_IMG_1744209206308.jpg
    20.9 KB · Views: 31
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.

Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."

Zitto KabweView attachment 3306274
ngoja ninyamaze mie!

Hawa wamekwishaahidiwa wabunge wa hisani.

Nasimama na Lissu, CDM hatutaki wabunge wa hisani, tunataka wabunge ambao ni Haki yetu.

No Reforms, no Elections
 
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.

Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."

Zitto KabweView attachment 3306274
Vichwa vyenye akili Chadema kama enzi za Lissu, Mwigamba, Dk. Mashinji, Patribas Katambi, Silinde zimeisha. Sasa hivi Chadema imebaki na Mdude Chadema na Lema! Ahahahahaha!!!
 
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.

Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."

Zitto KabweView attachment 3306274
Maandalizi ya kupokea covid+19 na masalia ya njaa 55.. Zitto ni pandikizi la kitambo
 
Chama pekee cha upinzani chenye uhakika wa kuwa na wabunge baada ya uchaguzi bila upendeleo ni ACT-WAZALENDO. Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja. Wanachohitaji ni kuongeza wabunge wa kutosha kutoka Bara ambapo CDM wana mvuto zaidi. CDM wamewapa hiyo nafasi kwa kucheza vibaya karata zao. Na wanazidi kujiharibia kwa namna wanavyo wasimanga wanachama wao wanaotofautiana nao kimkakati.

Wanachofanya ACT-WAZALENDO ni kama walivyofanya CDM kwa kumuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar badala ya wa kwao. Kama nakumbuka vizuri kuna wakati mgombea mwenza wa urais wa CDM alitoka ACT-WAZALENDO.

Amandla...
 
"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.

Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."

Zitto KabweView attachment 3306274
Kwa tume ipi? Zitto ni msaliti
 
Wanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo.
Udini tu ndio ulitumika kushawishi kina Maalim ila Zitto haaminiki. Hivi amesahau serikali za mitaa walienguliwa karibu wagombea wote wa ACT!! ngoja ashiriki asije lia lia tu oktoba hiyo
 
Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja.
2020 walikua hawakubaliki? Mbona walipewa majimbo yasiyozidi 5 pemba nzima yenye majimbo 18? Vipi serikali za mitaa mbona walipewa mitaa/vijiji vingapi huko Pemba? Issue sio kukubalika issue ni kutangazwa. Chadema ikisimamisha mgombea jimbo moja tu la Ubungo anaweza kupata kura nyingi kuliko majimbo yote ya ACT bara na visiwani!! That alone tells you a lot
 
Back
Top Bottom