CDM walichofanya , kilipaswa kufanywa na vyama vingine ili kuwamsha ccmuChama pekee cha upinzani chenye uhakika wa kuwa na wabunge baada ya uchaguzi bila upendeleo ni ACT-WAZALENDO. Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja. Wanachohitaji ni kuongeza wabunge wa kutosha kutoka Bara ambapo CDM wana mvuto zaidi. CDM wamewapa hiyo nafasi kwa kucheza vibaya karata zao. Na wanazidi kujiharibia kwa namna wanavyo wasimanga wanachama wao wanaotofautiana nao kimkakati.
Wanachofanya ACT-WAZALENDO ni kama walivyofanya CDM kwa kumuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar badala ya wa kwao. Kama nakumbuka vizuri kuna wakati mgombea mwenza wa urais wa CDM alitoka ACT-WAZALENDO.
Amandla...
Ila ACT WAZALENDO na wenzao wamefanya utoto ambapo ni kama watajipotezea ushawishi na mwaka 2030 wananchi hawatapepesa macho wataona bora ccmu kuliko hawa akina ACT