"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Priority ya CUF ya Maalim ilikuwa ni Zanzibar. Hilo CDM wasingekubali. Mojawapo ya sababu ya kutofautiana na Profesa ilikuwa hilo.Kweli kabisa, kati ya makosa walivyofanya wanachama wa CUF ni kujiunga na ACT, binafsi ninaona kwa misimamo ya Wazanzibari walitakiwa wajiunge na CHADEMA
Tena Zito na Halima Mdee hawakuwahi kugombana.Mwenzao alikuwa Amina Chifupa japo alikuwa CCM.Na wale Covid 19
Anza kuwakarbisha mpox55 na m.kiti mwenza"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
1. Kama hayajanza leo na ni tabia iliyozoeleka wewe huoni CHADEMA wanafanya vizuri kurekebisha? Yaani unataka kutuambia kuwa kitu kibaya na chenye madhara kama kimezoeleka kinakuwa ni kizuri?Hayo kasema Heche na hayakuanza leo. Wabunge wa CDM wamejiuzulu ubunge, wakaunga juhudi, wakagombea kwa niaba ya CCM kwenye uchaguzi maalum kwa ajili ya kiti alichoshinda awali na akashinda na leo wako bungeni na wengine ni mawaziri. Inaelekea wewe ni mgeni sana katika siasa za Tanzania. Kila mbunge wa CDM aliwahi kuahidiwa ubunge na pesa akihamia CCM.
ACT-WAZALENDO hawajawahi kuachiwa viti Pemba au Unguja. Sana sana walikuwa wanadhulumiwa viti. Sasa unamhongaje mtu ubunge ambao ni wa kwake? Kiti cha urais Zanzibar hawawezi kusahau ingawa wanajua kutangazwa mshindi haiwezekani.
Kama wanachama na wafuasi wa CDM bila shaka mtashinda baada ya miaka 5. Swali ni je kama katika huo muda hapatakuwa na reforms za maana? Mtavumilia mpaka 2035?
Amandla...
Atakuwa amesaidia sanaHuyo mamluki tu. Hapo anawatongoza G55 wajiunge ACT
Wengi ya wanaoongea kama wewe wako kwenye siasa kwa sababu tu ya maslahi binafsi. Watu mnaona ubunge ndiyo kipambaumbele tena ubunge wa kupewa. Hivi unajua Heche alipigiwa simu na watu wakubwa tu wakimshauri wakubali kuingia kwenye uchaguzi halafu eti watapewa viti vya ubunge? Yaani CCM imeshafikia kwenye hatua ya kugawa viti vya ubunge kwa vyama vya upinzani! Na hili ndilo Mbowe na wafuasi wake walitaka. Kama ulivyosema hata mimi najua ndivyo itakavyokuwa, ACT wataachiwa viti vya Pemba, na pia wanaweza kupewa viti vichache bara, na kurudi tena kwenye serikali ya umoja wa kitaifa lakini kiti cha urais Zanzibar wasahau. Hata kama watashindwa kwa asilimia 100, hawatatangazwa. Kwa hiyo tunarudi kule kule... CCM itabaki na vyama bandia vya upinzani, na pia wabunge wote lengo lao kuu litakuwa ni fedha. CHADEMA imefanya uamuzi mzuri sana. Ni bora iwe nje ya bunge kwa miaka yote 5 inayokuja, lakini faida wataiona baadae.
WAAMBIENI CHADEMA WAACHE UTOTO

Lissu aliishasema kuwa mazungumzo yameanza na baadhi ya hao mnaowaita Covid-19. Kwa hiyo nae ni msaliti?
Amandla...
Kuna siasa ambayo haina vyeo?.Siasa ni mchezo wakunyang'anyana vyeo na madaraka kupitia mgongo wa wananchi.Wanasiasa wote duniani lengo lao ni moja.Wanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo.
Unaposema wananchi jizungumzie wewe mwenyewe kwasababu ata hao waliomo Act ni wananchi pia na wataunga mkono chama chao.CDM walichofanya , kilipaswa kufanywa na vyama vingine ili kuwamsha ccmu
Ila ACT WAZALENDO na wenzao wamefanya utoto ambapo ni kama watajipotezea ushawishi na mwaka 2030 wananchi hawatapepesa macho wataona bora ccmu kuliko hawa akina ACT
Wasioaminika na nani?.Sema usiyemwamini kwasababu ya mtazamo wako.siasa ina mambo mengi sana.Zitto ni mpiga dili na wala hili si geni masikioni mwa watanzania.
NI kati ya wanasiasa vijana wasioaminika kabisa.
tuliambiwa kuwa huyu kastaafu uongozi ACT, mbona kila siku anatoa matamko kwa niaba ya chama?"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.