Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
NCHI ya mama yako.Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
NCHI ya mama yako.Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Kwani mwehu ndama anasemaje???Sasa kumekucha sasa kumekucha dodoma kada wa zambarau apewe kura za ndio
Hamna kitu humo - dili dili.Wasioaminika na nani?.Sema usiyemwamini kwasababu ya mtazamo wako.siasa ina mambo mengi sana.
Siasa inaweza kuwa na vyeo kama sehemu ya muundo wake eg urais, ubunge, uwaziri ila vyeo siyo lengo lenyewe, bali ni nyenzo ya kutekeleza majukumu ya kisiasa.Kuna siasa ambayo haina vyeo?.Siasa ni mchezo wakunyang'anyana vyeo na madaraka kupitia mgongo wa wananchi.Wanasiasa wote duniani lengo lao ni moja.
sijuiKwani mwehu ndama anasemaje???
Haujawahi kufanya siasa halisi. Mara zote siasa halisi zinapita njia ngumu. Waliozoea siasa za UCHAWA hawawezi kupita njia hii maana ni nyembamba 😃😃😃😃😃😃😃😃, ninaunga mkono no reform no election. Mpaka kieleweke, wataachia haoChama pekee cha upinzani chenye uhakika wa kuwa na wabunge baada ya uchaguzi bila upendeleo ni ACT-WAZALENDO. Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja. Wanachohitaji ni kuongeza wabunge wa kutosha kutoka Bara ambapo CDM wana mvuto zaidi. CDM wamewapa hiyo nafasi kwa kucheza vibaya karata zao. Na wanazidi kujiharibia kwa namna wanavyo wasimanga wanachama wao wanaotofautiana nao kimkakati.
Wanachofanya ACT-WAZALENDO ni kama walivyofanya CDM kwa kumuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar badala ya wa kwao. Kama nakumbuka vizuri kuna wakati mgombea mwenza wa urais wa CDM alitoka ACT-WAZALENDO.
Amandla...
Mkuu mbona una kichwa kigumu hivyo?? CDM haina tamaa wala uroho wa madaraka. Wanachafanya hivi sasa na kupigania mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi. Utakaowasaidia hata hao wenye tamaa ya madaraka kwenye vyama vyao, kuweka usawa kwenye ushindani.Chama pekee cha upinzani chenye uhakika wa kuwa na wabunge baada ya uchaguzi bila upendeleo ni ACT-WAZALENDO. Watapata wabunge kutokana kukubalika kwao Pemba na sehemu za Unguja. Wanachohitaji ni kuongeza wabunge wa kutosha kutoka Bara ambapo CDM wana mvuto zaidi. CDM wamewapa hiyo nafasi kwa kucheza vibaya karata zao. Na wanazidi kujiharibia kwa namna wanavyo wasimanga wanachama wao wanaotofautiana nao kimkakati.
Wanachofanya ACT-WAZALENDO ni kama walivyofanya CDM kwa kumuunga mkono mgombea wa urais Zanzibar badala ya wa kwao. Kama nakumbuka vizuri kuna wakati mgombea mwenza wa urais wa CDM alitoka ACT-WAZALENDO.
Amandla...
Wanatakiwa wakubaki kubiwa kura, ili ionekane ni wakubwa.WAAMBIENI CHADEMA WAACHE UTOTO
Hapana ya mama yako alokupatia guest.NCHI ya mama yako.
Nchi ya wapi?.Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Wanataka kufanya siasa au wanataka vyeo? Jamaa huyu sijui aliwezaje kuwateka CUF wakaingia kwenye hamsini zake. Hawa watu kiu yao kubwa ni vyeo.
Ni kupoteza muda tu! Act wazalendo haiwezi kushinda hata kiti kimoja kwa kanuni hizi za uchaguzi!"Kwa wale Wanasiasa ambao wanataka kufanya siasa lakini milango imefungwa kwenye vyama vyao, wasivunje madirisha wala nyumba! KARIBU ACT Wazalendo tufanye Siasa.
Tunaweza kuleta mageuzi tukiwa mchezoni. Uchaguzi ni jukwaa la kuelimisha na kuamsha umma (mobilization). Uchaguzi ni jukwaa la kuionyesha dunia tunachopigania (exposing the flaws)."
Zitto KabweView attachment 3306274
Lengo la Zitto ni kufanya siasa, siyo kuchukua nchi.Zitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Upotoshaji uko wapi? Mazungumzo si bado yanaendelea kuhusu maombi ya hao wawili? Au CDM hamjadiliani kitu, ni uamuzi wa Mwenyekiti tu?Acha upotoshaji. Sio mazungumzo wameandika barua ya kuomba msamaha. Ni wawili tu.
Thubutu yakeZitto anajua siasa atachukua nchi 2030.
Ni kweli mimi sio mwanasiasa. Hiyo njia ngumu haikuanza kwa Lissu peke yake. Sio wagombea wa CDM peke yake ndio walioumizwa. Uamuzi wa No Reforms No Elections ni wa CDM peke yao. Vyama vingine vina haki ya kukataa kuwaunga mkono. Kuwaita machawa au CCM B au C hakutawafanya wabadilishe msimamo wao.Haujawahi kufanya siasa halisi. Mara zote siasa halisi zinapita njia ngumu. Waliozoea siasa za UCHAWA hawawezi kupita njia hii maana ni nyembamba 😃😃😃😃😃😃😃😃, ninaunga mkono no reform no election. Mpaka kieleweke, wataachia hao
Labda wapate ubunge wa kupewa.Huu ni mwaliko kwa John Mrema na kundi lake la Wasakatonge 55.