funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi.
Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa.
Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia ya CHIMAY kutubwatukia ati no reform no election....
Tanzania imeshafanya reforms nyingi sana na itaendelea kufanya nyingi mno.
JE KILA TUKITAKA KUFANYA REFORMS TUTAHAIRISHA UCHAGUZI?
Nikumbushe tu wapo maadui watatu ambao wanatakiwa kubakia kwenye Target.
Umasikini , Maradhi na Ujinga.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!