Somo kwa vijana: Hatukuhitaji ubwatukaji barabarani kurejesha mfumo wa vyama vingi bali utashi na utulivu wa kisiasa

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi.

Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa.

Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia ya CHIMAY kutubwatukia ati no reform no election....

Tanzania imeshafanya reforms nyingi sana na itaendelea kufanya nyingi mno.

JE KILA TUKITAKA KUFANYA REFORMS TUTAHAIRISHA UCHAGUZI?

Nikumbushe tu wapo maadui watatu ambao wanatakiwa kubakia kwenye Target.

Umasikini , Maradhi na Ujinga.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Wakati mwakimu nyerere yuko kwenye harakati za uhuru, alipitia mambo mengi ambayo hayaelezwi sana. Mapaka kuwindwa aliwindwa ili wamuondoe , he didnt stop

Mabadiliko yana gharama, hakuna mabadiliko yanakuja kirahisi duniani kote
 
Kumbuka Mabadiliko aliyoyahangaikia Mwalimu ndio yamelindwa na CCM kwa miaka 60+ dhidi ya mabepari na vibaraka wao wanaoendelea kuwalipa.
Sioni CCM au Serikali ikiwaachia vibaraka warudishe nyuma jitihada za Mwalimu.....#LOGIC
 
Ccm haikuwepo wakati huo, tatizo vijana wa sasa hamfaham struggle za mwalimu kuelekea uhuru. He suffered, his life was at risk, imagine ange kata tamaa na kuwa chawa wa mkoloni?
Ccm ingekuwepo?
 
Ccm bado mnadhania watu wa Miaka ya 90's Ndio wa sasa😂😂. Saizi uhitaji wa jamii JUU ya jambo fulani unailazimisha serikali kufanya mabadiliko itake isitake!. Na kwakuwa ccm kuna wenye akili na uwezo mdogo wakusoma nyakati nikuhakikishie mabadiliko yatakuja kwa nguvu Hata kumwaga damu ili tu jamii ipate inachohitaji!!.
 
Baada ya Hiyo struggle akatuletea standars za kuenenda ili tuwe taifa imara...sikumbuki kama uchaguzi tu ndio ilikuwa ni kila kitu.
 
Ccm bado mnadhania watu wa Miaka ya 90's Ndio wa sasa😂😂. Saizi uhitaji wa jamii JUU ya jambo fulani unailazimisha serikali kufanya mabadiliko itake isitake!. Na kwakuwa ccm kuna wenye akili na uwezo mdogo wakusoma nyakati nikuhakikishie mabadiliko yatakuja kwa nguvu Hata kumwaga damu ili tu jamii ipate inachohitaji!!.
Sawa kabisa.
 
Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi.

Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa.

Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia ya CHIMAY kutubwatukia ati no reform no election....

Tanzania imeshafanya reforms nyingi sana na itaendelea kufanya nyingi mno.

JE KILA TUKITAKA KUFANYA REFORMS TUTAHAIRISHA UCHAGUZI?

Nikumbushe tu wapo maadui watatu ambao wanatakiwa kubakia kwenye Target.

Umasikini , Maradhi na Ujinga.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
UJINGA KWA CCM HAUTAISHA KAMWE.
 
Wakati mwakimu nyerere yuko kwenye harakati za uhuru, alipitia mambo mengi ambayo hayaelezwi sana. Mapaka kuwindwa aliwindwa ili wamuondoe , he didnt stop

Mabadiliko yana gharama, hakuna mabadiliko yanakuja kirahisi duniani kote
Akina Kaunda kule Zambia na Nelson Mandela kule Afrika Kusini walipitia hayo.
 
Nyingi sana kama zipi? Kuwa specific Acha kuropoka, unaweza kufanya reforms nyingi but zenye maslahi kwako, kwahio zinakua useless! Kaa kwa kutulia
bila reforms leo tungekuwa na Chadema?
 
Ccm haikuwepo wakati huo, tatizo vijana wa sasa hamfaham struggle za mwalimu kuelekea uhuru. He suffered, his life was at risk, imagine ange kata tamaa na kuwa chawa wa mkoloni?
Ccm ingekuwepo?
Wanafikiri CCM ipo kwa sababu akina Nyerere walikuwa wanaunga mkono hoja zote zilizotolewa na Serikali ya Waingereza.Akina Nyerere wangekuwa kama hawa vijana wa leo basi mpaka sasa Tanganyika ingekuwa bado mali ya Malkia wa Uingereza.
 
Kwenye miaka ya 90s Chama cha Mapinduzi na Serikali kiliridhia kwa utulivu uanzishaji au urejeshaji wa mfumo wa vyama vingi.

Hii ni baada ya mchakato wa kupata maoni ya watanzania japo wengi wao hawakutaka kuwepo kwa mfumo huu wa sasa.

Hivyo wala hatuhitaji ajitokeze mwanasiasa aliyeshiba bia ya CHIMAY kutubwatukia ati no reform no election....

Tanzania imeshafanya reforms nyingi sana na itaendelea kufanya nyingi mno.

JE KILA TUKITAKA KUFANYA REFORMS TUTAHAIRISHA UCHAGUZI?

Nikumbushe tu wapo maadui watatu ambao wanatakiwa kubakia kwenye Target.

Umasikini , Maradhi na Ujinga.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Kwanza Makala Ashitakiwe kwa Uhaini juu ya kuwasingizia chadema kuleta Virus, Ujinga uliopo ccm ni mkubwa na ndiyo maradhi yanayoitafuna Tanzania kwa sasa, kwa hisani ya Utu upi? Tanzania ipi? ccm kwa sasa hamna utu mmejaa ushetani kwa kutisha sana, kuwateka kuwaonea kuwabambikia kesi ni Utu? hakuna mabaya yasiyo na mwisho wapo wapi akina Rungu, Omary bongo, Elbashiri wa Sudan,Bokasa, mabutu, idd Amini Dada na wenzao?
 
Back
Top Bottom