vyama

  1. Wanachama wa vyama vya siasa wafanyiwe 'recruitment' kabla ya kupewa uanachama

    Vyama vya siasa vinahitaji watu ili viwe hai bila kujali ni aina gani ya wanachama inao wapata, ndio maana hata mambumbu wakutupa wamekuwa wanasiasa na mbaya saidi wanapewa nafasi nyeti kuongoza jamii. Sheria ya vyama vya siasa ifanyiwe marekebisho kidogo kwamba kuwe na utaratibu maalumu...
  2. R

    CHADEMA pigeni kelele mchoke, sisi na vyama vingine vya upinzani tumebinafsisha bandari kwa maslahi yetu na vizazi vyetu

    CHADEMA endeleeni kupambana na DP World huku wenzenu wakiungana kukamilisha taratibu za kukabidhi bandari zetu. Wameungana kwa nguvu moja kwamba yanayofanyika yana tija kwa vizazi vyao, ninyi hoja yenu ni maslahi kwa wanyonge. Je, wanyonge na wao nani atapewa kipaombele? Ofcos familia zao...
  3. Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  4. Ipo haja ya misingi inayosimamia uendeshaji wa vyama vya kisiasa kuwekewa mipaka.

    Sheria hutungwa na kuwekwa kama muongozo wetu, ili kulinda maisha yetu sisi binadamu na kudumisha ustaarabu,ikiwepo kutokuvuka mipaka ambayo tunakuwa tumejipangia, #naendelea..
  5. Tujiunge kwenye vyama ambavyo vina mifumo ya utaifa kwanza, kwa wote tulioiasi au kuikataa CCM

    Ikumbukwe sisi watanzania,kabla ya mfumo wa upinzania kuanza sisi sote CHAMA chetu kilikuwa ni chama cha mapinduzi yaani ccm, baada ya vyama kufunguliwa ndipo kila mmoja wetu kwa akili zake akakimbilia pale anapoona panamstahili na panapoweza kumtimizia mawazo yake na malengo yake ya kisiasa...
  6. B

    Tuwekane sawa: Dini hujenga mitazamo ya mtu, vyama vya siasa vichukue mikondo ya kimakundi

    Asalam, Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi. Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
  7. Kawaida atuma Salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    KOMREDI KAWAIDA, ATUMA SALAMU KWA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, ASISITIZA KUMLINDA RAIS SAMIA NI JUKUMU LA VIJANA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa Ndg. Mohammed Ali KAWAIDA (MCC) ametuma salamu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini na kumtaka kuwachukulia hatua wale wote...
  8. M

    Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
  9. M

    Idara za vijana kwenye vyama zimekosa mweleko. UVCCM na BAVICHA hawaeleweki

    Ndugu wanaJF huu ni uzi wangu wa kwanza hapa ninaandika nikiwa nina hasira zisizo na mfano dhidi ya hizi idara za vyama vya siasa. Hawa vijana wamekosa mwelekeo na kuishia kuwa vituko tofauti na malengo ya uweo wao. Leo nitatoa mtazamo wangu kuhusu idara maarufu za ACT, BAVICHA na UVCCM kwa...
  10. I

    Vyama vya siasa vipya 18 kuomba usajili ni kukua kwa demokrasia nchini au ni fujo?

    Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa. Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu...
  11. J

    Adui wa mwafrika kwa sasa ni vyama vya siasa vinavyotawala

    Naam, nimefuatilia miaka mingi kuona utendaji wa vyama tawala Afrika ni kama vimejisahau vinafanya mambo kijinga kabisa. Hii mara nyingi husababishwa na kutafuta fedha kwaajili ya uchaguzi ili kuhonga wapiga kura. Kilicho fanywa na serikali ya CCM Tanzania ni mfano wa mawazo ya hovyo kabisa...
  12. Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  13. L

    Makato ya Vyama vya Wafanyakazi kifungu c

    72.-(1) Mkataba unaomlazimisha mfanyakazi kuwa mwanachama wa chama cha wafanyakazi hauna nguvu za kisheria. (2) Chama cha wafanyakazi kinachotambuliwa na mwajiri wanaweza kufikia makubaliano ya pamoja yanayotoa duka la uwakala. (3) Mahitaji ya makubaliano ya duka la uwakala linalobana ni: (a)...
  14. K

    Watanzania walikataa vyama vingi kwa 80% Nyerere akaona mbali akaruhusu!! Samia kaona mbali pia, DP world twende kazi

    Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda...
  15. Kujiunga Vyama vya Wafanyakazi ni Hiari, Kwanini Walimu Wanalazimishwa Kujiunga Vyama Viwili?

    KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI "Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama vya wafanyakazi"? - Mhe. Neema Gelard Mwandabila, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Faida...
  16. Kuhusu Mkataba na DP World: Serikali sasa ikutane na viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Wasalaam Wakuu. Baada ya Bunge kuunga Mkono azimio la Serikali kuingia Mkataba na Kampuni ya DP World, mengi yamekuwa yakisemwa. Leo tar 12 Juni 2023, Waziri Prof Mbarawa alikutana na viongozi wa dini mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu juu ya mkataba wenyewe. Na kuondoa sintofahamu na hofu...
  17. Mwongozo kwa Vyama vya Upinzani katika Kulinda Haki za Wananchi

    Acheni janjajanja za kisiasa Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao hauchochei maendeleo na umoja wa taifa. Jitahidini kuwa wabunifu, na wajibika katika kuwasilisha...
  18. D

    Hata mwaka 1992, tungeongozwa na hofu, vyama vingi visingekuwepo

    Hofu ni Hali tu na Wala sio hoja. Watanzania tumeendelea kuwa mahodari wa hofu wasio na hoja. Nakumbuka mwaka 1992 wakati wa mjadala wa Nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi, wengi sana walipinga kwa kujazwa hofu. Wachache walioelewa wakiongozwa na Baba wa Taifa, wakaunga mkono KWA HOJA, kuwa Nchi...
  19. Mwenye katiba ya CWT na Sheria ya vyama vya Wafanyakazi Naomba tafadhali

    Habari za mda huu ndugu zangu. Ombi langu ni moja. Nahitaji vitu viwili 1.KATIBA YA CWT 2.SHERIA YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI Nitumie hapa hapa au PM
  20. T

    Vyama vya Ushirika wa Kuweka na Kukopa punguzeni sherehe

    Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini. Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…