Hakika lililoandikwa na Mwenyezi Mungu kabla mbingu hazijaumbwa haliepukiki.
Uongozi wa mama Samia umezidi "kuwakuna" watu na taasisi mbalimbali, baada ya Lissu, Mbowe, msigwa, taasisi za kimataifa, Sasa gwiji la Siasa za upinzani, Augustine Lyatonga Mrema ametoa ya moyoni, kwamba ni Samia tu...