Kazi Bunge nikuisimamia Serikali iliyopo madarakani itende Kwa maslahi ya Taifa. Kazi hii imegeuka siyo main objective tena bali lengo kuu la bunge lililopo chini ya uongozi wa sasa na ujao nikushirikiana na Serikali. Kushirikiria maana rahisi nikutengeneza pertnership na kwenye partnership...
Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa.
Hujitutumua tu pale utawala unahitaji kuvitumia katika kuvibana vile vyama vya upinzani vikubwa hasa CDM...
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa?
Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu kurudisha Mali zoote mlizoiibia nchi yetu!
Kwa kuwa Tanzania ni nchi ya waungwana, na wananchi wake kilio...
Chama cha Mapinduzi wanafanana sana na Vodacom, wanaweza kukuibia kifurushi chako hivihivi ukiangalia. Hakika wao ni chama kubwa, wenye sera nzuri lakini zilizopo kwenye makaratasi, ambazo hawajaweza zitekeleza hata kwa asilimia 10 toka tupate Uhuru. CCM wamejisahau, ila wajifunze kwa Nokia...
Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao?
Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni deni la Taifa linalohatarisha usalama wa nchi yetu kupigwa mnada.
Hoja pekee na ya nguvu...
Katika hotuba ya Mh. Lisu kufunga mwaka, iliyosheni mambo mazito yanayowagusa watanzania wa nyanja zote, amezungumzia vyama mamluki ambao wanashirikiana na CCM kufanya uhuni ndani ya taifa letu hasa kutaka kuleta usanii kwenye swala la katiba mpya.
Je hivi vyama mamluki ni vyama gani?
NDUGAI AOMBE RADHI
Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa.
Pili wafanyakazi wa umma wafutwe wote, waajiriwe wapya tuanze upya. Wafanyakazi wataobaki wawe...
Kaandika hivi kupitia twitter:
"Nawapongeza wanasiasa mliotunukiwa shahada za uzamivu,udaktari wa falsafa.Nawafahamu mna uwezo mkubwa.Lakini inawezekana kweli ukawa Mbunge na Waziri, ukapata muda wa utafiti na kuandika tasnifu. Hata ya uzamili ni kazi sana. Swali kwa Vyuo Vikuu, je vigezo au...
Kikosi kiko dominated na wateule wengi wa rais makada wa CCM kina Mukandara sijui kama kitakuja na mapendekezo ya maana.
Where is Jaji Warioba in this Task Force at least.
Chadema waliona mbali sana kama wangekosea wakahudhuria nao wangekuwa sehemu ya maigizo chini ya Mutungi na Mukandara...
Jana nimepima nikakukutwa na virusi vya Korona (COVID 19). Sina maumivu yoyote mpaka sasa zaidi ya mafua tu lakini nimekutwa positive.
Chanjo imesaidia kutopata madhara makubwa. Nimekaa eneo tengwa (isolation) ili kutoambukiza wengine mpaka hapo nitakapopima tena.
Nawaomba muendelee kuchukua...
===
Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora,
Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa nchi hii kwa gharama yeyote watakuwa ni CHADEMA ila Sio CCM hii ya Mama Samia Suluhu Hassan na hili...
Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati Rais John Pombe Magufuli.
Leo kwenye mkutano wa wadau wa siasa nchini...
Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais.
======================
“Mkutano wa kesho ulioitishwa na Baraza la vyama vya siasa sio mkutano wa...
Wanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.