Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa.
Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
Tangu chaguzi za vyama vyingi za 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, na 2020 sababu kubwa wanayotuambia wapinzani kama sababu ya kushindwa chaguzi ni kuilalamikia TUME ya Uchaguzi kwamba sio huru hivyo haiwatendei haki.
Je, 2025 kutakuwa na tume ya uchaguzi iliyo tofauti na zilizotangulia? Kama...
Kuna msemo unasema
"Cheka nao kula nao cheza nao"kama huwezi kupigana nao ungana nao
Vyama vya upinzani na watanzania wenye kiu kali ya kutaka kuona hatima ya chama tawala hapa nchini kuna ushauri huu hapa
Chini ya makada na wale wanaojiita viongozi wa vyama vya siasa nchini hawana budi kukaa...
Wakuu asalama alykum......Nadhani ipo haja kwa sasa bunge letu tukufu kuangalia ni jinsi gani litaweza kuondoa baadhi ya vifungu ndani ya katiba vinavyoruhusu watu kufanya shughuli za kisiasa kila wakati ili kuongeza utendaji kazi wa watanzania badala ya shughuli za kisiasa kufanyika kila wakati...
Wataalamu wanasema ukichukuwa idadi ya wanachama wenye usajili ukazidisha mara mbili ndiyo nguvu ya wafuasi wao. Tujue kuna watoto ambao ni wapambe wa wanachama walezi wao kwenye mahesabu haya
kwa hivyo CCM ina wanachama 17M na wafuasi kwa ujuma 34M, Chadema wanachama 7M na wafuasi 14M wengine...
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;
1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano...
Namshauri Mama kuliko nchi kuwa katika mivutano wakati mlikubaliana kufata demokrasi ya vyama vingi , amuru waziri wa Sheria na katiba apeleke mswada wa dharura bungeni kufuta vyama vya upinzani hapa nchini.
Najickia huzuni Sana namna mambo yanavyoenda.
Mama nilikupenda na niliona umsikivu na...
Kaimu Postamata Mkuu Macrice Daniel Mbodo amewataka viongozi wa vyama vya wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania kushirikiana na uongozi wa Shirika katika kuhakikisha wafanyakazi wanatimiza wajibu wao katika utekelezaji wa malengo ya Shirika.
Wito huo umetolewa tarehe 17 Julai, 2021 alipokuwa...
Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi.
Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo kikiwa kwenye maandalizi ya Baraza Kuu, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amekitaka kitoe maelezo ya kina kwa nini kiliwafukuza uanachama wanachama wake 19 ambao ni wabunge wa viti maalumu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 14...
Vijana wa siku hizi wana uelewa mdogo, washabiki na wapenda sifa. Vijana naongelea hapa ni chini ya miaka 35 ambao wapo kwenye kundi hizi za umoja wa vijana. Je ni wangapi wamewahi kukupa ushauri wa maana!. Siwasemi kwani ni tatizo la kidunia kwa sasa.
Inasikitisha kuona vijana wa miaka 20's na...
CCM haijawahipo kubadili mwenyekiti wa Chama zaidi ya anaekuwa Raisi ndie awe mwenyekiti wa Chama, hivi ni kweli ndivyo inavyotakiwa? Utaratibu huo mmeutoa wapi?
Sasa kuna watu wanapiga makelele eti Vyama vya Upinzani wenyeviti wao ni Wafalme kwa hilo ndugu zangu wa CCM mliopoteza muelekeo...
Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani.
Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli hakuwa na mpango wa aina hiyo kabisa, badala yake mkakati wake ulikuwa kuviua kabisa vyama vya upinzani...
Wapinzani tunataka Katiba mpya, wana CCM Katiba mpya no haiko kwenye ilani ya CCM
Wapinzani tunataka Demokrasia : ccm demokrasia ipo wewe fanya kwenye jimbo ulipo chaguliwa kwa mwenzio no.
Fomu za wagombea wa upinzani, ofisi zina fungwa , mkurungezi kakimbia ofisi, nimevamiwa nyumbani...
Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania.
Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao?
Pia kwanini Tume ya...
Moja ya vitu vya kustaajabisha hapa nchini,ni namna vyama vya upinzani vinavyoshindwa kula na kipofu na chama tawala na serikali pia
Watanzania tunajijua na rahisi sana kutekwa kisiasa ni mbinu tu za mtekaji akijipanga vizuri,yaani wapinzani wanashindwa kutumia mbinu hizi kwa serikali na chama...
Mabibi na mabwana kumekuwa na kasumba ya kuwafungamanisha wajumbe mitandaoni na vyama vya siasa labda kulingana na maudhui ya mabandiko yao.
Dhana hii kwa hakika ni potofu sana, hasa pale wajumbe husika wanapokuwa hawajijitanabaisha hivyo wazi wazi na kwa IDs zilizokuwa verified.
Itoshe kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.