Kuelekea ule mkutano wa vyama vya siasa:
1. Chadema hawa hapa:
2. NCCR nao hawa hapa:
Hadi siku ya siku mbona kitaeleweka tu?
ZZK na bwana Nondo namna gani pale?
Kesi ya Mbowe na wenzake inatarajiwa kuendelea tena mahakamani tarehe 14 Desemba.
Wakati huohuo, Mheshimiwa rais Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa tarehe 16 na 17 Desemba.
Je serikali itamfutia kesi mwenyekiti wa CHADEMA ndugu Freeman...
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa.
Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba...
Nini majukumu ya kila siku ya Ofisi hii ya msajili wa vyama vya siasa ikiwa vyama havifanyi kazi za siasa Nchini.
Inakuwaje Mwenyekiti wa chama kimojawapo anatoa tamko shughuli za siasa hadi apende yeye.
Ofisi hii ikaungane na Rita kupunguza matumizi ya fedha.Msajili asiwe mteule wa Rais
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
Kwa heshima na taadhima mimi binafsi naheshimu mawazo mbadala ya kuliendea jambo kulitatua ili kuliondosha, kuliboresha au kupata ahueni.
Tangu wimbi la demokrasia ya vyama vingi litue Afrika ikiwemo Tanzania tumeshuhudia uanzishwaji wa vyama vingi ambavyo vinasema kuwa kuna njia rahisi sana ya...
Hili suala kiukweli nchi za Afrika zimejikita kutokomeza upinzani wa vyama kuliko vitu vingine.
Poleni Uganda kwa matukio ya kigaidi. Nchi ya Uganda ni bora kupoteza pesa kwa ajili ya upinzani hata kutumia jeshi lakini kuliko kutafuta usalama wa yale yaliyotokea
Jambo moja la Afrika ni kama...
CCM wameshamaliza kila kitu na nchi inazidi kupaa katika ramani ya Dunia kwani chini ya CCM sasa Tanzania inavuma kama upepo wa kusi.
Enyi msiosikia ambao mnatamani kukamata Uongozi wa Nchi hii mna lipi jipya la kuwashawishi wananchi ambalo CCM hawajalipitia,hawajalifanya lipi kubwa haswa...
Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo.
Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo.
Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
Kero ya machinga huko barabarani hapati rais peke yake, kero ya machinga hapati waziri mkuu peke yake, kero ya machinga hapati RC, DC au mkurugenzi peke yake!
Kero hii ya machinga wanaipata wanainchi wengi wastaarabu wanaozingatia kanuni na sheria za inchi.
Kero ya machinga tunaipata sisi...
Sitamani kuingia ndani Sana katika maana ya maneno matatu hapo Juu, #Uzalendo ni dhana ya mtu kusimama kwa ajili ya Taifa lake na si kwa maslahi ya kikundi au yeye mwenyewe.
#Itikadi ya vyama vya siasa ni Mlengo wa uendeshaji na usimamizi wa Mwenendo mzima wa utawala, imani itegenezayo mifumo...
Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa wadau wengi zaidi kushiriki kikamilifu.
Mkutano huo uliolenga kujadili maudhui ya utekelezaji wa...
Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa.
Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika katiba.
Migongano inayotokea ni kwa sababu tu ya ukiukwaji katiba, ambapo hayupo aliyejuu ya...
Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa.
Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu.
Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote.
Lakini leo hapa nazungumza kitu kimoja kwa viongozi wa juu wa serikali na Vyama vya siasa kwa nguvu na mamlaka makubwa ya...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, atakapoachwa huru bila masharti yoyote.
Sharti hilo limetajwa leo...
Aiandikia Chadema barua nyingine na kuwataka wajieleze Kwa Maneno aliyoyasema Kiongozi wa Baraza la Wazee na ametumia Maneno ya mtaani yenye kumaanisha hukumu tayari imeshatolewa. Manano kama "mwana kulitafuta, mwana kulipata " na "mtoto asipolelewa na wazi atalelewa na Ulimwengu"
Aidha Msajili...
"Nimealikwa Mkutano Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Vyama Vya Siasa nchini China @CPPCC_NUMUNxii inayoshughulikia mahusiano China-Africa kama Mwanasiasa Kijana leo. Nitawasilisha hoja ya Maendeleo ya Vijiji na Mchango wa Mahusiano ya Nchi zetu. Mkutano kwa Mtandao."
#Tunajifunza #RK
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.