vyema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  2. Tlaatlaah

    Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  3. PAZIA 3

    Zijue fursa zilizopo kwa Kila mkoa ili uamue vyema sehemu sahihi ya kuishi na kuwekeza kwa muda mrefu

    Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali ambazo tuna uhakika wageni katika eneo hilo hawazijui. Zipo fursa zilizojificha ndani ya fursa...
  4. BabaMorgan

    Kuomba michango ya matibabu ni kero ni vyema kama vijana tukajitunza

    Prof. Janabi kila wakati anasisitiza juu ya mtindo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ila watu tunachukulia poa. Nina experience ya kuomba michango ya matibabu kwa ndugu, jamaa na marafiki ni miongoni mwa experience mbaya kuwahi kukutana nayo so far ni kero kwa muomba...
  5. M

    Ni kweli kwamba mtu anayetumia vyema ARV kipimo cha kujipima cha damu huwa hakioneshi ni muathirika?

    Nimeona nije nipate michango ya wanajamvi kutokana na kwamba jukwaa hili Lina wasomi na madaktari wengi. Kwasasa vijana wengi tumeangukia kwenye wimbi la kujipima na Kula tunda kavu, ata huko Kwa Malaya utaratibu ni huo wao wanakuwa na vipimo vyao mnapima kisha mnakulana. Sasa kuna mtu mmoja...
  6. K

    Kinana atoe majibu kuhusu clip hii akiwa Loliondo/Ngorongoro na Mfalme wa Dubai

    Wengi wanafahamu sekeseke la Loliondo Ngorongoro huku likipamba kasi baada ya Wamasai wote kuambiwa waondoke kinguvu. Clip ambatanishi hapo juu ni Makamu Mwenyekiti akiwa na ugeni mzito huko mbugani, swali je alikua akimpokea kama mgeni wake binafsi ama kwa niaba ya Samia?!! Kwa nini sio waziri...
  7. Mto Songwe

    Je, ni sawa kwa Rais Samia kuiunga mkono Somalia kiusalama?

    “Kama mnavyojua hali ya wenzetu [Somalia] haiko vizuri sana, kwahiyo tumewahakikishia kuwaunga mkono kwenye kujenga uwezo wa wao kama nchi kujilinda wenyewe.” – Rais Samia Suluhu Sasa nchi yetu tumekwisha iendeleza na kuilinda vya kutosha sasa tuna vuka kwenda kuwajenga na kuwaendeleza wengine...
  8. GENTAMYCINE

    Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
  9. B

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Kama uliwahi kujiuliza unavyoweza kuitambua tarehe ya Pasaka basi makala hii ni nafasi kwako kujua tarehe hiyo unavyoweza kuijua bila hata kuhitaji kusoma kalenda Utafiti wa tarehe ya Pasaka umechukua nafasi kubwa katika historia ya Kalenda ya Mwaka tunayoitumia. Hivyo kuifafanua tarehe...
  10. PakiJinja

    Yanga imejiandaa vyema na mchezo na ipo imara kwenda kutafuta matokeo

    Yanga imejiandaa na mchezo wa leo kwa hali na mali. Ipo tayari kwenda uwanjani kupambana ili kupata matokeo. Yanga haiendi uwanjani ikiwa na matokeo mfukoni, bali imejiandaa kupambana kkufa na kipona ikitambua matokeo yatapatioana uwanjani kupitia mpambano huo. Mpira ni mchezo wa kugombania...
  11. GENTAMYCINE

    Niliposema kuwa Mwezi huu Mtukufu kuna Timu haitafanya vyema kwakuwa Majini yanauheshimu mkabisha mpo wapi leo?

    Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King! Zawadi ya Tunu/Shani nilizopewa na Mwenyezi Mungu hakuna wa Kufananishwa nami na ndiyo maana 85% ya yale ambayo huwa nayawasilisha hapa JamiiForums (Michezoni na kwingineko) huwa ni sahihi na kwa 15% tu ndiyo huwa ni bahati mbaya/havitokei. Msione aibu...
  12. DeMostAdmired

    Huyu baharia katuwakilisha vyema au kazingua?

    Wakuu mnaonaje huyu BAHARIA je KATUWAKILISHA VYEMA au hajui kuhandle?
  13. MamaSamia2025

    MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

    Bila kupoteza muda ninawasihi wanachama wa CHADEMA wenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo kuachana na huo mpango kwasababu kuna vigogo washajipitisha kugombea. Kimsingi baadhi yao wameshatamka hadharani kuwa watagombea kupitia hayo majimbo bila kujali mchakato wa katiba ya...
  14. Chizi Maarifa

    Video: The man mwaka huu jamaa ametuwakilisha vyema sana. Vijana mna la kujifunza

    Hivi ndo inapaswa kuwa.... Mtu anapotishia kujamba na wakati ana tumbo la kuharisha unamletea poti akalie. Nimependa wote wawili walichokifanya kwa uhalisia wake. Madogo acheni kuja na nyuzi za kijinga kulia lia hapa kwamba umeachwa. Kwani mama yako huyo? Kafanye mambo mengine kama mapenzi...
  15. cleokippo

    Makonda kabla haujatoa kibanzi jichoni kwa mwenzio ni vyema ukatoa kibanzi jichoni mwako

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana mara tu baada ya kusikia na kusoma mitandaoni ziara ya mh katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha makijani aliyepanga kufanya nchi nzima. Sina hakika wananchi wataipokeaje ziara yake ila ningependa kumshauri ndugu yangu makonda kabla hajazunguka mikoa...
  16. C

    Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

    Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna...
  17. Roving Journalist

    Mwananchi ampa Traffic Police Tsh. 500,000 kwa kutekeleza vyema majukumu yake kazini

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Arusha, Sajenti Anna Kidenge amepongezwa na kupewa fedha Shilingi 500,000 kwa kutoa huduma bora barabarani. Mwananchi aliyetoa zawadi hiyo amesema ameguswa na namna ambavyo Askari huyo amekuwa akimwona wakati akitekeleza majukumu yake ya usalama...
  18. GENTAMYCINE

    Ukitulia kabisa na ukaitumikisha vyema Akili yako kwa Taarifa hii hapa chini unaelewa nini?

    Wauguzi 1330 Wamefeli Mitihani yao Chanzo: Magazetini Leo Ushauri wangu tu GENTAMYCINE kama kuna Mtu kwa sasa anataka Kuwekeza katika Biashara ili apate Faida Kubwa sana awekeze katika Biashara ya Majeneza, Sanda na Uchimbaji wa Makaburi hutokuja Kujutia.. Na nawakumbushenu tu kuwa hata mwaka...
  19. BAKIIF Islamic

    Uislamu ulifika Afrika na kukubalika vyema kabla ya mji wa Makka (Saudia)

    Katika mwezi Mei 614 CE, Muhammad (s.a.w) aliwashauri idadi fulani ya wanafunzi wake wa kwanza, waliokuwa wakikabiliwa na mateso kutoka kwa wakaaji washirikina wa Mji wa Makka (Saudia), kutafuta kimbilio ng'ambo ya Bahari Nyekundu huko Axum. Katika utamaduni wa Kiislamu, tukio hili...
  20. Melki Wamatukio

    Shule ipi humjenga mwanafunzi kiakili, kifikra pamoja na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?

    Je, ni shule za Serikali? Ama ni shule za watu binafsi? Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
Back
Top Bottom