vyeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mwanaume Maskini ana Enjoy wake zake hadi watano, wewe na PhD yako , vyeo kibao, pesa zakumwaga, Mke mmoja tu. Huu sio Ujinga?

    Tena huyo mmoja presha juu. Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣 Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi. Una akili kweli? Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia. Tusiposhtuka tutabaki kama Zamwamwa. Turudi kwenye Asili yetu mazee.
  2. Pre GE2025 Tusilalamike kuna mfumo dume katika siasa, Vyeo vya kijinsia naomba vifutwe

    Tusiishie kulalamika kuwa ndani ya siasa kumejaa mfumo dude na kuanza kuwapa watu vyeo maalum kwa kutazama jinsia zao mfano viti maalum. Tujiulize maswali halafu kisha tufute mfumo wa viti maalum tuache wenye uwezo wa siasa wazifanye na wawanie nafasi na washinde na sio jinsia kutumika kama...
  3. Wenje: Chadema wapo watu wa aina mbili, wenye vyeo na kama huna cheo basi ni mkunja ngumi

    Ezekiah Wenje ambae anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa Chadema taifa na ambae ni mfuasi wa Mbowe anasema "ndani ya Chadema huwa tunasema kama huna cheo basi utakuwa mkunja ngumi tu" Kwenu makamanda mtakaoambiwa na Mbowe "Kunja ngumi kamanda" mjue hiyo ni kazi yenu kama huna cheo.
  4. K

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuna mazingira tata, upandishwaji vyeo unafanyika kwa kujuana

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao. Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
  5. Watu wa karibu na Tundu Lissu wamshauri ajiuzulu vyeo vyake vyote ndani ya chadema na kustaafu siasa

    Husika na maada tajwa hapo juu, Kutokana na Press ya Mh. Mbowe Leo imeonyesha kuwa Makam mwenyekiti yupo very irresponsible kwenye kutimiza majukumu yake, hasa kwenye masuala yanayohusu nidhamu ndani ya Chama, kwa heshima ilitakiwa baada ya speech ya Mh. Mwenyekiti, Lissu atangaze kuachia ngazi...
  6. G

    Kumbe Viongozi wa CHADEMA mpo after vyeo vyenu na siyo hali bora ya Wananchi?

    Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu) "Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k". Kwahiyo safu ya uongozi ya...
  7. Naomba kumjua huyu Afande ambaye mara nyingi huwa anaongoza itifaki kwenye misiba ya kitaifa na misiba ya wanajeshi wa Vyeo vya Juu

    Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein. Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo. Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia. Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa...
  8. B

    Vyama Tawala, Tabia za kupeana vyeo na Scandal ya Equatorial Guinea

    Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika. Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala bora, maendeleo ya viwanda na hali nzuri ikiwemo ustawi wa wananchi. Kama ilivyo kwa vyama vyote...
  9. LGE2024 Tundu Lissu amjibu Amos Makalla kutojiandikisha kwake "Nashangaa wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza kuwa kutojiandikisha kupiga kura hakumuondolei mtu yeyote kuzungumzia uchaguzi...
  10. G

    Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

    Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10. Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45 Mawaziri wapo wachache Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4 nitoe pongezi...
  11. L

    Rais Samia: Ukiwa Muadilifu Vyeo Vitakufuata Ulipo

    Ndugu zangu watanzania, Haya ni Maneno ya Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA...
  12. Raisi Kagame leo ateua mabrigedia jenerali wawili na makanali 14. Pia waziri wa ulinzi awapandisha vyeo mbalimbali wanajeshi wapatao 4392

    Raisi Paul Kagame leo mchana ameridhia kupandishwa vyeo vya ngazi ya brigedia jenerali na cheo cha kanali kwa maofisa kadhaa wa jeshi la Rwanda. Hatua hii yafuatia hatua ya raisi Kagame kumteua waziri mpya wa ulinzi Juvenal Marizamunda, mkuu mpya wa jeshi la Rwanda Meja Jenerali Mubarak Muganga...
  13. M

    Tanzania Forest Service vyeo vyao vya kijeshi vinasomekaje au vinafanana na JW?

    Habari wakuu Mimi shida yangu kubwa umu ndani NI kutaka kujua vyeo vyao kijeshi vya watunzaji misitu au Tanzania forest service vipoje kuanzia vyeo vyao Askari mbaka maofisa maana nimeona wanatumia mbaka zile saa za mteule daraja la kwanza na la pili nawasilisha madame kwenu wakuu
  14. Kabudi na Lukuvi kurudishwa kwenye Baraza la mawaziri: wamepandishwa vyeo au wameshushwa?

    Alipowaondoa, alisema kawapandisha vyeo ili wawe viranja wa mawaziri wote isipokuwa Waziri Mkuu. Sasa kawarudisha tena. Hiyo inamaanisha nini? 1. Kazi ya kuwasimamia mawaziri imeisha(wameshuka) 2. Wameongezewa majukumu hivyo wataendelea nayo yote(wamepanda)
  15. Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

    Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari yangu? Ni mapungufu yangu au ni ubabe wao? Ni dhambi zangu au ni laana yangu? Je hii safari yangu hadi...
  16. Usahihi ni upi katika vyeo vifuatavyo vya kisiasa

    Cabinet- Kwa nini ni Baraza la Mawaziri na sio Baraza la taifa la uongozi wa nchi? Ministry of Finance- Kwa nini inaitwa Wizara ya Fedha badala ya Wizara ya hazina kuu ya kitaifa? Secretary of State(US)- Kwa nini media huwa zinamuita Waziri wa mambo ya nje badala ya Katibu wa taifa wa mambo ya...
  17. Waziri Masauni awataka Askari kuvitendea Haki Vyeo

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewataka Askari na Maafisa wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika kuwahudumia wananchi baada ya Askari na Maafisa hao kupandishwa vyeo na Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri...
  18. R

    Wanasiasa wenye vyeo serikalini wanalipwa mishahara mingapi?

    Huwa najiuliza kwa mfano mawaziri wetu wote ni wabunge. Je, wanapokea kila mwezi mishahara miwili? Mshahara wa mbunge na mshahara wa waziri? Na sasa tunaye naibu waziri mkuu ambaye ni 1. mbunge 2. Waziri 3. Naibu waziri mkuu. Huyu analipwa mishahara mitatu kila mwezi??
  19. D

    Hivi vyeo vyote vya nini kutishana tu

    Ukiingia Kanisa Katoliki unaweza kudhani we ni fala wa hali ya juu na mungi hakutambui kabisa kwa vyeo hivi walivyojipachika hawa watu. 1. His lordship, Askofu mkuu 2. His grace, Askofu 3. His eminence, Kadinali 4. His holiness, Papa 5. The most honorable, Padre Upuuuzi mtupu
  20. Kwanini Mzee Jaji Warioba alirundikiwa vyeo vingi sana enzi ya Mwalimu Nyerere

    Mzee alipata kuwa Jaji Mkuu Makamu wa Rais Waziri Mkuu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Na badae Tena akaja kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Hivi nauuliza huyu mzee ndio alikuwa msomi pekee na hadi Mwalimu kumpachika vyeo vyote hivyo kasoro uspika? Nataka kuelewa kwanini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…