vyeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kuna viongozi walipanga kuingia nyumba za ibada na vyeo vya jana mchana ila asubuhi waliposoma mkeka hata ibadani wamesusa

    Hakuna jambo la kibabe alilofanya mama kama kuharibia watu mwaliko wa Pasaka. Kuna watu wamegoma kwenda kanisani kwa sababu title zao zimebadilika au hazipo tena. Wengine walitamani madereva wawapeleke sehemu ila wanaamini wao sio mabosi wa hao madereva tena. Wapo waliowaalika wananchi na...
  2. Mwadu Nkuva 2

    KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  3. Kayabwe

    Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? Mei Mosi inakaribia

    Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
  4. Erythrocyte

    Hamis Mgeja adai kuna waliopandishwa vyeo kwa sababu ya ‘kumtukana Lowassa’

    Ameyasema hayo alipozungumza na gazeti la Mwananchi kufuatia Msiba wa Rafiki yake Lowassa Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Sinyanga na rafiki wa karibu wa Hayati Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hamisi Mgeja amesema kiongozi huyo alikuwa na uvumilivu wa hali ya juu kiasi cha...
  5. KakaKiiza

    Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  6. M

    Pre GE2025 Maanadamano yasiyoifanya Katiba Mpya kuwa ni ajenda kuu ni maandamano ya wasaka vyeo

    Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji. Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
  7. GENTAMYCINE

    Kwanini 90% ya Maafisa wa Vyeo vya Juu wa JWTZ Wakistaafu Ugonjwa wao mkubwa huwa ni 'Stroke: tu?

    Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani 90% ya Wagonjwa wa Kiharusi ( mliosoma mnauita Stroke ) huwa ni Wanajeshi Wastaafu ( tena waliokuwa na...
  8. B

    Hayati Dr Magufuli Alipiga Stop Vyeo vya Watoto UVCCM, alijua ni mbinu za Undugunisation

    Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na kufanya mambo yao ya Utotoni. Dr Magufuli alijua hizo ni mbinu za Vigogo( mafisadi) kupenyeza watoto wao...
  9. T

    Tetesi: Ni kweli Desemba walimu wa 2014 na 2015 watapanda vyeo walivyopunjwa?

    Kuna tetesi kwamba kuna uwezekano mkubwa wa walimu walioajiriwa 2014 na 15 mwisho wa mwezi wa kumi na mbili watakuta mabadiliko kwenye mishahara Yao kutokana na kupanda vyeo. Je, kuna ukweli wowote?
  10. R

    Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

    Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha. Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani? Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini? Karibuni🙏 Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
  11. Black Butterfly

    Mdau: Serikali idhibiti vitendo vya rushwa katika mchakato wa kuwapandisha vyeo watumishi

    Hakuna jambo linaloweza kuchafua ufanisi wa taasisi au kampuni kama rushwa katika mchakato wa kupandisha vyeo. Ni jambo linalochochea malalamiko na kutia doa utendaji wa kazi. Leo, tunapenda kuangazia suala hili kwa dhati. Tunatambua kuwa kuna wafanyakazi wengi wenye vipaji na uwezo wa kipekee...
  12. Erythrocyte

    TLS kwisha Habari yake, viongozi wake waanza kuhongwa vyeo

    Hivi ndivyo ilivyo , je kuna haja yoyote ya kuendelea kuamini Sungusia na wenzake ? Mbona wakati wa viongozi waliopita mambo hayakuwa hivi ?
  13. R

    Hadhi ya Ubalozi ya Dkt. Slaa ilikuwa mzigo mkubwa kwake, hakupewa kwa maamuzi ya Mwenyenzi Mungu bali kwa maamuzi ya wanadamu. Sasa yupo huru

    Kama Dkt. Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kwa kupigania rasilimali naamini yupo kwenye mwisho mwema wa maisha yake hapa Duniani. Kwamba ameanza kwa kupigania haki na amezeeka akiwa mtetezi wa haki; alianza kwa kuhubiri uzalendo na amezeeka akipigania haki. Waliomvua Ubalozi ipo siku watasimama...
  14. GENTAMYCINE

    Rais Samia kwa tamaa kubwa ya Vyeo CCM Kwako, nakushauri uwe Unawaficha wale Uwapendao na unaotaka kuwa nao kuanzia 2025

    Labda nikuambie tu Rais Samia kuna Uteuzi Mmoja wa Kimkakati umeufanya Jana ila sasa Umeshamsababishia matatizo Mhusika kwani kama hajarogwa awe Mweusi kuliko alivyo sasa ili Usiwe unamuona au Kumkumbuka kama yuko basi wanaweza Kumaliza Shughuli kabisa na hiyo 2025 asiione au akiiona atakuwa si...
  15. sanalii

    Vyeo katika uislam vinapatikana vipi na vikoje?

    Huku mtaani naona vijana wanaitana sheikh, mufti, maalimu, na wengine wainaitana akii, je haya ni majina ya waislamu au ni vyeo? Utaratibu wa vyeu ukoje huko.
  16. Mwamuzi wa Tanzania

    Yule bibi wa Ngende aliyekuwa akigawa vyeo na utajiri amekufa

    Ni siku 3 au 4 sasa nilipigiwa simu kuwa B. Njimwite wa Ngende mkoani Lindi, wilaya ya Liwale,Kijiji Cha mpigamiti ameshaaga Dunia. Ni mganga pekee Afrika aliyekuwa anapokea buku 2 tu kisha yeye kukupa pesa ya mtaji. Utajiri ndani ya mwezi mmoja tu, ukikosea masharti ufukara utakucharaza mpaka...
  17. Allen Kilewella

    Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  18. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Watu wanaosema tukajiajiri ni wale ambao tayari wana Vyeo na Nafasi Serikalini: Kujiajiri kunahitaji Elimu Kubwa Kuliko ya Kukaa Ofisini

    Utangulizi Kelele zilisikika zikisema “watu ambao wanasema vijana tukajiajiri ni wale waliokaa maofisini, wao tayari wana vyeo na nafasi, kujiajiri sio kitu rahisi, ingekuwa ni rahisi na wao wajiajiri basi, watulee kwanza kufanya biashara ili tunapokua tuweze kuwa wafanyabiashara bora. "Hapa...
  19. Librarian 105

    Nimekaa pale. Natazama tu wanaojipa vyeo vya Ujinga

    Eti msiba wa wengi ni harusi! Jiulize mbona matanga hayalaliwi ukumbini kwa taarabu na slow jam? Eti siogopi kudaiwa, serikali yenyewe inadaiwa! Jiulize deni la nchi analipa nani kama sio wewe? Halafu tafakari lini serikali ilibeba deni lako? Akili itakaa sawa pindi utakapolala nje au kurudi...
  20. sky soldier

    Kuna upendeleo maalum wa wazanzibari kupendelewa katika vyeo?

    Na hapa tunaangalia zaidi Jeshini. Niliwahi sikia stori mzanzibari si mwenzako mnapomaliza mafunzo JKT, wewe mtu wa bara uliezaliwa na kukulia hapa bara utaenda JKT na kujitolea hata miaka lakini mwisho wa siku utaambiwa umeiva sasa urudi kwenu kuendelea na shughuli zingine, Ila wazaznibari...
Back
Top Bottom