Assalam aleykum !
Kuna kitu kinanikwaza kidogo nashindwa elewa kwa uelewa wangu mdogo madrasa zetu tunavyofundishwa kuhusu Dini tunafundishwa Dini ya kweli na ya Haki ni Uislamu.
Mihadhara na mawaidha yote tunayohudhulia neno ni hilo kwamba Ukristo sio dini ni imani na kipindi cha nyuma maeneo...
Siyo watu wote waliofanya uovu uadhibiwa na mamlaka za kibinadamu. Wengi wa wahalifu ufanya uhalifu baada ya kuingia mkataba wa uhalifu na wanapendezwa na huo uhalifu. Yawezekana kama wakina Kingai walifanya mateso waliyoeleza watuhumiwa kesi ya Mbowe basi walisaini mkataba wakuifanya kazi hii...
Habari wanajamvi
Katika kitabu chake cha "My life,My purpose"ndugu mkapa aliyepata kuwa rais wa Tanzania katika kipindi cha miaka 10(1995-2005) ameelezea katika sura ya 11 aliyoiita "reforms and yet more reforms" swala la vyeo mbalimbali vya serikali kufanywa kuwa vya kisiasa wakati vinampa mtu...
Kina Dada mnapokuwa shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya.
Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo.
Kila Mara vijana...
CCM isifikiri tunaotukanwa humu kwenye mitandao kwa ajili yake hatuna damu!
Huo utaratibu wa vitoto ndani ya chama vinavyohojiwa hojiwa huko kwenye Midea na kumtukana marehemu JPM mkiendelea kuvichekea tutaona namna bora ya kudeal na CCM humu jamvini.
Niwahakikishie Viongozi wa CCM uasi huwa...
Mmoja akinunua Gari aina ya IST basi Wote watanunua, kwa sasa wameshaacha Kununua IST wamehamia katika Gari aina ya Rumio ( Rumion )
Mmoja wao akinunua tu T-shirt au Jeans fulani basi ndani tu ya Siku 3 zijazo utaona Wwnzake wengi nao wananunua na kuanza Kufanana na Kuboa Mitaani na Machoni...
Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza.
Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
Naomba kufahamishwa maneno yafuatayo yanayotumika kumu"address" viongozi mbalimbali wa kiimla na wakisiasa.
Emperor na empress
Chief
Prince na princess
Crown prince na crown princess
His/her majesty
His/her highness
Duke
His/her worship
His/her Excellency
Na mengineyo mengi. Unaweza...
Najua kwa sasa tunajitahidi sana kuvumilia vumilia na kujipendekeza ili tupate cheo au ulaji flani. Sasa hali hii ni kama tunakuwa kwenye tension fulani.
Na kila mtu anajaribu kuja na maneno mazuri ya kuonekana anafaa sana ku praise na ku worship.
Kama tulivyofanya kwa Magufuli hatimaye...
UVCCM wanajua kabisa kua katiba mpya hasa mchakato ulioanzishwa na tume ya Jaji Warioba na ile Pendekezwa hautambui kabisa nafasi za Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa sababu ni Makada wa Chama tawala na pia ni mifumo ya enzi za Nyerere ambako kulikosa na CHAMA NA SERIKALI, wakati huo ilikua ngumu...
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya halmashauri hawajatuma kabisa hata idadi ya watumishi wanaostahili kupanda. Yaani pamoja na mikwala...
Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo katika mwaka huu wa 2021.
Hivyo, ili kuwapa watumishi fursa ya...
Jana tarehe 29.5.2021 katika kituo cha luninga TBC niliona kikosi cha Jeshi la wananchi wa Tanzania kamandi ya wanamaji akiongea Mkuu wao Afande Makanzo katika majukumu yao, lakini begani alivaa alama fulani kwa kweli sizijui kabisa lakini aliandikwa Rear Admiral Makanzo wajameni hiki ni cheo...
Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west).
Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni...
Enyi Wakuu wa Wilaya za Temeke Godwin Gondwe na Iringa Richard Kasesela nitafuteni GENTAMYCINE upesi ili niweze 'Kuwabariki' na 'Mkono' wangu wa 'Baraka' ili nanyi msiwe mnasahaulika Kupandishwa 'Vyeo' Serikalini japo huwa 'mnachakarika' sana kwa Msaada wa Makamera ili Juhudi zenu zionekane...
Duniani kote hii ishu bado haijaisha. Ilifikiriwa juwa labda demokrasia itafanya watu wapewe vyeo vya kiasiasa kutokana na uwezo na si uzao wai lakini hili bado halijatokea.
Ukiangalia kwenye vyeo kuanzia ubunge, uwaziri, ukuu wa mikoa, wilaya nk utakuta kuna proportional kubwa sana ya uzao wa...
Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
Kwa nchi nyingi tu ( siyo Tanzania ) huwa naona kuanzia Marais wao, Makamu wao wa Rais na Mawaziri Wakuu wao huwa wana 'lundo' la Walinzi ( Bodyguards ) wakiwalinda.
Nikiamini kabisa kuwa hapa JamiiForums kuna Wajuvi ( Pundits ) wa 'Sekta' hii au hata 'Wahusika' wenyewe leo wataweza kunisaidia...
Katika hali inayoonekana kuwa na taharuki ni Rais, kutopandisha mishahara kwa watumishi wa umma, imesababisha wafanyakazi kutoelewa ni nani anastahili kupata cheo kipya, ili aweze kujikwamua na hali ngumu ya kimaisha.
Kunahitaji elimu ya kutosha, kinachoonekana watu hawaelewi ni muda gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.