Rais wa Uganda na Amiri Jeshi Mkuu wa UPDF Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni amefanya uteuzi kwa kuwapandisha vyeo Majerali na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la nchi hiyo.
Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini.
Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani.
Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akikagua Miundombinu ya Umeme eneo la Ntyuka Jijini Dodoma 1 Aprili 2021, amewataka Wananchi kutoa taarifa sahihi na mapema pale Umeme unapokatika katika maeneo yao ili TANESCO iweze kuwafikia haraka na kurejesha Umeme mapema.
Waziri Kalemani ameeleza...
Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara.
Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
Humphrey Polepole ambaye ndiye aliyekuwa ofisa mazungumzo (manunuzi) siku yoyote ataachia kiti cha uenezi kwa vile kishaingia bungeni. Huku mlipaji mkuu wa chama ambaye ni Katibu Mkuu Mh Bashiru Ally akiteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi wa Ikulu, na bila shaka ataondoka kwenye Ukatibu Mkuu wa...
Hivi sasa wameonekana askari wenye elimu kama Diploma na degree kwenda kusomea cheo wengine wa zamani walio kaa sana wana miaka zaidi ya 8 hawajawahi pandishwa cheo wakiwa wanakidhi vigezo vyote na ni watiifu wamebaki, vijana walio ingia kabla yao na ambao hawana vigezo vya muda wa kukaa kazini...
Sheria inasema, ukipata cheo kipya unatakiwa ukae na hicho cheo Mwaka mmoja ili uweze ku qualify kulipwa pensheni ya cheo kipya endapo utastaafu.
Kuna malalamiko ya Askari Polisi ambao mmoja alikuwa OCS mkuu wa kituo na wengine 5 walikuwa ma major na sajenti ambao walilipwa pensheni kama...
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi...
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.
Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.
Kuna siku jpm...
Siasa za upinzani hapa Tanzania zimejikita katika watu kujitafutia madaraka, vyeo na ajira binafsi.
Ngoja tuwaone Chadema watafika wapi baada ya wanachama wake maarufu wote kupoteza ubunge na udiwani.
Nawatakia Sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!
Ndugu zangu wa ACT-Wazalendo
Fanyeni mfano wa CHADEMA, achaneni na ujinga wa serikali ya umoja wa Kitaifa huko Zanzibar!.
Serikali ya umoja wa kitaifa inaweza kupatikana tu katika uchaguzi huru, wa haki ambao maamuzi ya wananchi kweli yameheshimiwa
Serikali ya umoja wa kitaifa haiwezi...
Huu ndio ukweli unaofahamika kila mahali, mifano ya waliokuwa wana CHADEMA na kusaliti chama chao waliodhalilika baada ya uamuzi wao huo ni mingi mno, hatuna haja ya kuirudia, ni kweli kwamba kuna waliopewa vyeo baada ya usaliti huo lakini heshima yao mbele ya jamii imepukutika mithili ya majivu...
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini?
Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti;
Kwanini jeshi la sasa la Iraq lina maafisa waandamizi wa vyeo vya juu kama Major General Saleh Nasser ilhali liliundwa na kusukwa upya mwaka 2003?
Mtu anawezaje kuwa Major Gerenal ndani ya miaka 17 tu ya utumishi...
Habari IGP Sirro.
Matumaini yangu nikuwa huwa naamini katika utendaji wako uko makini!
Na mbaya zaidi hiki chombo cha Polisi unakielewa vizuri sana kwa kuzingatia wewe umepitia ngazi mbali mbali katika jeshi hili!,Umekuwa ukifanya kazi kwa weledi sana. Mimi nitoe Rai kwako hasa katika kipindi...
Kusema ukweli hela haikai hata kama utapewa kiinua mgongo cha milioni mia tatu hamsini baada ya miaka mitano, kitaisha tu na huwa aibu kwa mtu aliyewahi shika madaraka makubwa kama ukuu wa mkoa, wilaya au ubunge kufulia, huwaumiza sana watu waliompenda na kumtegemea.
Ombi langu kwa...
MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani.
Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi.
Dkt...
Nimejiuliza mambo machache baada ya kusikia rafiki zangu serikalini wakinena jambo.
Kuwa, miradi mikubwa kama Stieglers, Ndege nk fedha zilizolipia miradi hiyo ni zile zilizookolewa kwa kutopandisha vyeo, nyongeza ya mishahara,nk.
Hii inaweza kuwa wako sahihi? Nisaidiwe!
Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala.
Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi.
2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.