Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha?
Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k.
JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
Kitwala aliwahi kuwa mkuu wa Wilaya ya Mkoani Tabora, enzi zake alisimamisha kazi makumi ya watumishi na kuwafukuzisha kazi.
SSH akapita naye kama mwewe, akawa raia wa kawaida.
Kumbe chini ya kapeti akaomba awe Afisa sheria pale PSSSF, cheo Cha chini kabisa kutoka katika ukuu wa Wilaya. Hakika...
Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam,
Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!.
Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
Jeshi letu ni full starehe tu na kuchukua wake za watu. Ndo mana hata mzazi anafurahi sana mwanae anapochaguliwa kwenda jeshi siku hizi.
Zamani kazi ya jeshi kila mtu alikuwa aniogopa na ukichaguliwa huko watu wanakusikitikia lakini siku hizi ni kinyume chake.
Imagine mtu ana div one tena PCB...
Niende moja kwa moja, hii nchi kuna watu wamejilimbikizia vyeo na watu ni wale wale tangu 80's na 90's ndio wapo kwenye system.
1. Imagine mtu ni MBUNGE halafu ni WAZIRI
2. Imagine mtu ni MWENYEKITI WA BODI fulani halafu anapewa tena taasisi nyingine
Vijana waliozaliwa 90's sijui watapikwa...
Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani!. Kauli ile ilileta mijadala mingi miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za nchi hii.
Ilikuwa ni jeuri...
Tusijisahau ndugu zangu, nikikumbuka Mzee wetu Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi alivyouacha uwaziri na kurudi mtaani na kupigika, sasa wewe unayewatisha watu kwa hako kacheo kako, siku zako zinahesabika, nazo zinapungua, anguko lako limekaribia.
Ishi vizuri na watu ukiwa juu ili utakapoanguka...
Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta aliwashukuru Wakenya kwa fursa nyingi walizompatia kuhudumu katika majukumu mbalimbali ya umma katika miongo miwili na nusu iliyopita.
Akihutubia Taifa katika Ikulu mnamo Jumatatu, Septemba 13, Rais anayeondoka alikumbuka safari yake katika utumishi wa Umma...
Na mkinijibu hili naomba mniambie pia je, na wale waliokuwa Mawaziri akina Kabudi na Lukuvi tulioambiwa watakuwa Jirani nae hivi sasa wanafanya nini?
Kazi ipo.
HABARINI
Ninashida ya kujua nafasi za kazi zinazopatikana kwenye kiwanda cha kusindika maziwa mfano benki kuna afisa mikopo na wenge. Je, kwenye kiwanda cha maziwa ni nafasi gani zipo?
Asanteni
Habari JF ,Ukiachana na Suala la Udiwani na Ubunge wa viti maalumu bado kuna vyeo vingi sana ambavyo kuna haja ya kuvipitia na kuona kama kuna umuhimu kuendelea kuwepo.
Mfano Wilaya inawakilishwa na watu wafuatao
1. DC
2. DED
3. DAS
4. MP
Lakini pia kuna nafasi za unaibu waziri ,mi nadhani...
Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.
Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika...
Uzi huu ni mahususi wa kuwataja na kuwatambua akina mama zetu wenye vyeo vya juu jeshini, ambao wanaanzia vyeo vya Brigedia Jenerali na Meja Jenerali.
Kuna hesabu nazifanya hapa. Mwisho wa mwezi huu kuna jambo letu.
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.
Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine...
Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
Halmashauri ya Manispaa Tabora imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapandisha madaraja watumishi wake 653 wa kada mbalimbali katika kipindi cha mwaka mmoja wa utawala wake.
Pongezi hizo zimetolewa Aprili 4, 2022 na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa hiyo, Ramadhan Kapela ambaye pia...
Hakuna mwana CCM yoyote anayezungumzia juu ya mradi wa JNHP au SGR kwa uchungu. SGR, Moro Dar imebakia story. JNHP ilikuwa ikamilike June 2022 lakini sidhani kama itakamilika maaana mgao wa umeme ndio chanzo cha mafisadi wa CCM kupiga madili ya kifisadi.
Ikiibuka ishu kama kumg'oa Ndugai kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.