Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya SM (Sir Major) wanaogopwa sana na kuheshimiwa mno Jeshini hata na Maafisa wakubwa Majeshini?

Kwanini Wanajeshi wenye Vyeo vya SM (Sir Major) wanaogopwa sana na kuheshimiwa mno Jeshini hata na Maafisa wakubwa Majeshini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Leo katika hii Mada kazi yangu kubwa itakuwa ni kusoma tu Comments zenu. Na nasikia pia wanasifika zaidi kwa Kuroga.
 
Hao ndo wenye roho mbaya, watekelezaji wa majukumu na sifa ya mwanajeshi, hao wakubwa zao hawana wanacho jua zaidi ya kupokea ofa kutoka kwa Mama yao, kisha wanawatupia hao jamaa sasa wanahofia kama wakiwageuka hawataweza kuwakabili hivyo walivyo na vitambi vyao...
 
Back
Top Bottom