tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Habari za kiintelejensia zilizovuja kutoka duru za kipolisi ni kwamba polisi wote walioshiriki kuwaua raia kati ya Oktoba 29 hadi Novemba 5 wamepandishwa vyeo mara 2. Upandishaji huu wa vyeo umeenda sambamba na idadi ya watu ambao kila mmoja aliua. Waliwaua watu wengi zaidi, wamepandishwa cheo mara dufu.
Hili jambo halishangazi kwa sababu imekuwa ni jambo la kawaida kwa serikali kuwapandisha vyeo polisi pale wanaposhiriki kufanya mauaji holela kwa raia wa nchi hii. Kipindi cha nyuma ziliwahi kutokea fujo maeneo ya Mkuranga na Kibiti ambapo polisi walikuwa wakivamia misikitini wakati wa swala na kuwapiga risasi za moto waumini kwa kisingizio cha kutafuta magaidi. Katika sekeseke hilo, walionusurika ni wale tu wasiovaa kanzu na hawafugi ndevu. Mtu yeyote aliyekuwa akionekana maeneo yale akiwa amevaa tu kanzu au amefuga ndevu, dawa yake ilikuwa ni kumpiga chuma na kisha kuchukua mwili na kuondoka nao.
Tukio la wizi wa miili ya maiti uliofanywa na polisi kipindi kile hautofautiani sana na wizi wa miili uliofanywa na polisi wakati huu.
MAONI YANGU
Serikali ya mama Samuya ndiyo iliyochochea mauaji yaliyopita na siku zote ndiyo inayochochea machafuko yote kati ya polisi na raia katika nchi hii. Utawapandishaje vyeo polisi kwa sababu ya kushiriki kwenye uhalifu? Kumbe polisi walikuwa wanafanya mashindano ya kuwaua raia ili wapandishwe vyeo? Kwa hiyo, tukisema kwamba serikali ndiyo iliyosababisha polisi kuwaua zaidi ya wananchi 10,000 ili wapande vyeo ni sahihi kabisa. Na mama Samuya anapotakiwa kwenda ICC kupambana na kesi yake ni sahihi kabisa.